Je, Oven inaweza kutumika kupasha chakula?

Manwambele

Senior Member
Jan 4, 2016
109
164
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.

Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?

N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake na kuchomea nyama mbuzi na kuku but sijajua bado naweza itumia pia kupashia chakula

Majibu wanandugu na ikiwezekana kama ntapata kujua na tofauti kati ya oven na microwave?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. lipia tangazo
2. tumia microwave kupasha,
microwave inapasha toka ndani ya 'stuff' kurudi nje,
oven ya kawaida ni kwa ajili hasa ya baking na broiling
 
Pashia tu kwani oven ni kama jiko la mkaa lenye moto juu na chini.
 


 
Huyo doctor ni jau
 
microwave imetengemezwa special kwaajili ya kupasha tu inamechanism inayofanya chakula kupata moto kwa mda mfupi sana
oven hii ni kwaajili ya kupikia/kuchoma/kuoka ingawa kupasha unaweza pia ila kwakutumia chombo cha bati/chuma ingawa itachukua mda kidogo tofauti na microwave
 
Naomba maelekezo namna ya kutumia hili oven nmeletewa sasa sijui jinsi ya kubalance moto wa juu na moto wa chini. Kampuni Kenwood. User manual haijaelezea kitu
 

Attachments

  • IMG_4495.jpeg
    1.5 MB · Views: 1

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…