Je, Oven inaweza kutumika kupasha chakula?

Manwambele

Senior Member
Jan 4, 2016
109
164
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.

Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?

N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake na kuchomea nyama mbuzi na kuku but sijajua bado naweza itumia pia kupashia chakula

Majibu wanandugu na ikiwezekana kama ntapata kujua na tofauti kati ya oven na microwave?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. lipia tangazo
2. tumia microwave kupasha,
microwave inapasha toka ndani ya 'stuff' kurudi nje,
oven ya kawaida ni kwa ajili hasa ya baking na broiling
 
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.

Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?

N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake na kuchomea nyama mbuzi na kuku but sijajua bado naweza itumia pia kupashia chakula

Majibu wanandugu na ikiwezekana kama ntapata kujua na tofauti kati ya oven na microwave?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pashia tu kwani oven ni kama jiko la mkaa lenye moto juu na chini.
 
Kuna mtu flani alikua anaishi huko kijiji Maisha yake yote,akapataga Kansa ya utumbo Sasa Dr. akawa anaelezea sababu za Hilo tatizo, katikati ya maongezi akasema kuweni Makini Sana na hizi microwave(nilistaajabu maana huyo mgonjwa mwenyewe hata microwave sijui hata Kama alikua anaijua Ni Nini).

Huyo doctor ni jau
 
microwave imetengemezwa special kwaajili ya kupasha tu inamechanism inayofanya chakula kupata moto kwa mda mfupi sana
oven hii ni kwaajili ya kupikia/kuchoma/kuoka ingawa kupasha unaweza pia ila kwakutumia chombo cha bati/chuma ingawa itachukua mda kidogo tofauti na microwave
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom