Technian Tanga
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 411
- 200
Tuanze na tafasri ya neno Earthing Hii ni system ambayo inawekwa katika kila nyumba ambayo ina umeme kwa ajili ya kuilinda nyumba hiyo na matatizo ya short pale tu panapotokea uvujaji wa umeme
Wapi tunaweka earthing? Earthing tunaweka ktk vifaa vyote ambavyo vinatumia umeme na vina bati au metal frame ambalo unaweza kulishika mfano pasi,jiko la umeme,socket outlets, fluorescent lamp,Fridge na vinginevyo Principle ya earth wire apo inakuwa kama ikitokea wire wenye umeme umegusa bati la pasi au plate ya jiko earth ina urudisha underground na mtumiaji hato pata hatari ya kupigwa short na tuelewana kuwa kama uko bare foot (Yani peku) harafu pasi au jiko likaleta shinda ya nyanya kugusana harafu earth iko ovyo basi uta complete circuit na kusababisha hatari ya kupoteza maisha kwa kujiepusha na hili epuka kuungana na ardhi endapo unatumia vifaa venye metal frame na haviko earthed.
Tumekuwa tukipuuza earthing kwa kutoifanyia testing na kubadili earth rods ambayo imezikwa underground Na kudhani pengine haina shida ila tu niwaeleza unaweza pigwa na short usife lakin akili taratibu ina athirika pale tu electrons zinapopita mwilini mana zina haribu cell za mwili
Kama kuna wataalamu wenzangu apa semeni niweze kuchimba zaidi jinsi ya kuweka earth na kufanyia testing zote
Pia kumekuwa na swala la upuuzaji wa protective accessories Usalama wa vifaa vyetu vya gharama uko chini kutokana na kutoweka system nzuri ya kuvilinda hili ntalizungumza vizuri wakati mwingine