Shakidinkili
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 458
- 174
Mkuu wanyama wengine tofauti na binaadam wanakula ili wasife(wanaongozwa na njaa)mwenye nafasi ya utashi na uwezo wa kutafakari radha ya msosi ni binaadam,wengine wanakula baada ya njaa kuuma.kama ilivyo kusex wanasex baada ya kutaka kuzaa.ndio maana binaadam wanakula vyakula baada ya kuviandaa.na pia kwenye makundi ya vyakula wanavyokula,wanakula aina zote za vyakula herbivores,canivores,omnivores.sjui kama nimeandika sawa.binaadam anapita pote pote huko.wengine ni moja au mawili.
Kuhusu mifupa ya swala na wanyama wengine,inasagwa taratibu sana mpaka inaisha na kuwa kinyesi,chatu na wanyama wengine wa stair yake hukaa muda mrefu kabla hawajala menyu nyingine sababu hiyo.ni miongoni mwa wanyama wenye nyongo kali.
Sent from my radio

Sawa kabisa, jawabu sahihi Biologically,
Ngoja nikupe jawabu lingine spiritually....
Kitabu cha Mwanzo 2: Huyo nyoka alikuwa ni mnyama Mzuri kuliko wanyama wote Duniani!!
(soma mwenyewe sura yote, ni story ndefu kidogo).....sasa baada ya kulaaniwa na Mwenyezi Mungu, Nyoka akapoteza viungo vyote bora (hadi miguu,anatembea kwa kuburuzika tumbo, this according to revelation) akaambiwa "utakula mavumbi ya nchi ,.. ulimi wake hauna shape ya kula na kusikia ladha, nyongo yake, damu ni baridi na iliyojaa sumu, LAKINI, kaubongp ka mdudu huyu, ni xtra sharp
NB utanisamehe kama nimekosea mada yako
so kabla ya kulaaniwa alikuwa na miguu kama mamba nk? au alikuwa anafananaje?....na kwa umbo alilonalo sasa hakuna mnyama aliyekuwa nalo...nikimaanisha ina maana historia ya uumbaji kuwa Mungu aliumba siku ya kwanza hiki....mpaka siku ya saba alipoamuamua kupumzika alikuwa hajaumba kiumbe anayefanana na nyoka? so uumbaji haukukamilika?

Sijui nani aliwaambia fisi vinu vya kutwangia vinautamu, huku nanjilinji ukiacha kinu nje wanabeba kabisa wakakile kwa nafasi.
Simba akiingia kijijini akila ngombe ataondoka, ila akila mtu haondoki mpaka auwawe.
Inawezekana kuna cha ziada japo njaa ikawa kigezo chenye upendeleo.
Kwa hapo kwenye RED Mungu aliwapa wanyama ustaarbu sana kwenye tendo la Kusex kuliko sisi binaadamu kwakua sisi kwenye tendo kama hilo hatuna ustaarabu ukishaona Sketi ya shule tu Imesimama!Mkuu wanyama wengine tofauti na binaadam wanakula ili wasife(wanaongozwa na njaa)mwenye nafasi ya utashi na uwezo wa kutafakari radha ya msosi ni binaadam,wengine wanakula baada ya njaa kuuma.kama ilivyo kusex wanasex baada ya kutaka kuzaa.
Ndio maana binaadam wanakula vyakula baada ya kuviandaa.na pia kwenye makundi ya vyakula wanavyokula,wanakula aina zote za vyakula herbivores,canivores,omnivores.sjui kama nimeandika sawa.binaadam anapita pote pote huko.wengine ni moja au mawili.
Kuhusu mifupa ya swala na wanyama wengine,inasagwa taratibu sana mpaka inaisha na kuwa kinyesi,chatu na wanyama wengine wa stair yake hukaa muda mrefu kabla hawajala menyu nyingine sababu hiyo.ni miongoni mwa wanyama wenye nyongo kali.
Sent from my radio
Mkuu wanyama wengine tofauti na binaadam wanakula ili wasife(wanaongozwa na njaa)mwenye nafasi ya utashi na uwezo wa kutafakari radha ya msosi ni binaadam,wengine wanakula baada ya njaa kuuma.kama ilivyo kusex wanasex baada ya kutaka kuzaa.
Ndio maana binaadam wanakula vyakula baada ya kuviandaa.na pia kwenye makundi ya vyakula wanavyokula,wanakula aina zote za vyakula herbivores,canivores,omnivores.sjui kama nimeandika sawa.binaadam anapita pote pote huko.wengine ni moja au mawili.
Kuhusu mifupa ya swala na wanyama wengine,inasagwa taratibu sana mpaka inaisha na kuwa kinyesi,chatu na wanyama wengine wa stair yake hukaa muda mrefu kabla hawajala menyu nyingine sababu hiyo.ni miongoni mwa wanyama wenye nyongo kali.
Sent from my radio
Sijui nani aliwaambia fisi vinu vya kutwangia vinautamu, huku nanjilinji ukiacha kinu nje wanabeba kabisa wakakile kwa nafasi.
Simba akiingia kijijini akila ngombe ataondoka, ila akila mtu haondoki mpaka auwawe.
Inawezekana kuna cha ziada japo njaa ikawa kigezo chenye upendeleo.
Siyo kweli ndugu, kama wanakula wasife, iweje ukimwekea ng'ombe Pumba na majani mara nyingi hukimbilia pumba? Iweje ukimuwekea paka nyama na samaki hukimbilia samaki? Iweje ng'ombe ambea hapendi kunywa maji ukimuwekea chumvi maalum anakunywa? Iweje chatu ukimwekea mbwa na mnyama mwngne hukimbilia kummeza mbwa? Majibu please!
Mkuu wanyama wengine tofauti na binaadam wanakula ili wasife(wanaongozwa na njaa)mwenye nafasi ya utashi na uwezo wa kutafakari radha ya msosi ni binaadam,wengine wanakula baada ya njaa kuuma.kama ilivyo kusex wanasex baada ya kutaka kuzaa.
Ndio maana binaadam wanakula vyakula baada ya kuviandaa.na pia kwenye makundi ya vyakula wanavyokula,wanakula aina zote za vyakula herbivores,canivores,omnivores.sjui kama nimeandika sawa.binaadam anapita pote pote huko.wengine ni moja au mawili.
Kuhusu mifupa ya swala na wanyama wengine,inasagwa taratibu sana mpaka inaisha na kuwa kinyesi,chatu na wanyama wengine wa stair yake hukaa muda mrefu kabla hawajala menyu nyingine sababu hiyo.ni miongoni mwa wanyama wenye nyongo kali.
Sent from my radio
Siyo kweli ndugu, kama wanakula wasife, iweje ukimwekea ng'ombe Pumba na majani mara nyingi hukimbilia pumba? Iweje ukimuwekea paka nyama na samaki hukimbilia samaki? Iweje ng'ombe ambea hapendi kunywa maji ukimuwekea chumvi maalum anakunywa? Iweje chatu ukimwekea mbwa na mnyama mwngne hukimbilia kummeza mbwa? Majibu please!
so kabla ya kulaaniwa alikuwa na miguu kama mamba nk? au alikuwa anafananaje?....na kwa umbo alilonalo sasa hakuna mnyama aliyekuwa nalo...nikimaanisha ina maana historia ya uumbaji kuwa Mungu aliumba siku ya kwanza hiki....mpaka siku ya saba alipoamuamua kupumzika alikuwa hajaumba kiumbe anayefanana na nyoka? so uumbaji haukukamilika?
Mkuu ukijibiwa maswali haya na ukaridhika na majibu na mimi nishitue niongeze elimu.