teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Unaweza nitumia link au screenshot ya app yenyewe maana play store ziko nyingi.Pedometer
pamoja sana na mimi nasubiri hiyo
Tumia Google mapWadau wa JamiiForums,
Naomba kujua ni Application gani ninayoniwezesha kuweka point (coordnates) au starting point halafu nitembee iwe kwa miguu au gari hadi point nyingine kisha inaniambia ni umbali gani niliotembea.
Natanguliza shukrani zangu kwenu
hamna namna nyingine bila loccation kua onSpeedometer iko njema sana wala haitumi data zaidi ya connectivity mnara tu na location iwe ONView attachment 1492763
Sasa ita determine vipi point uliyopo bila location kuwa ON?hamna namna nyingine bila loccation kua on
notedSasa ita determine vipi point uliyopo bila location kuwa ON?