Je nitakuwa sahihi kwa hili?

Je nitakuwa sahihi kwa hili?

Mkeo ana chuki binafsi na wifi yake, huyo shemeji yako asipokua makini atavunja ndoa yake kwa vimaneno vya dada yake.
Kama mkeo anakupenda nakushauri kuanzia muda huu uwe unatembeza kipondo cha mara kwa mara kwa mkeo mpaka aache ungese wa kuingilia ndoa ya mdogo wake.
[emoji106][emoji106][emoji120][emoji120]
 
Mpenzi wangu ana mdogo wake wa kiume nae kaoa ila kilichotokea

Hapa majuzi huyu mdogo wa mke wangu aligundua ya kuwa mkewe kaenda kuchepuka

Ila hakuwa na uhakika ila alichokifanya huyu mke wangu akaenda kumpampu mdogo wake
Amtwange makofi mkewe na kweli yule shemeji yangu akapiga mkewe mpaka akazimia

Narudi mimi toka kazini nikakuta wazazi wa huyo mwanamke wanaenda polisi nikajalibu kutetea yakaisha

Hapo sijui kitu basi katika kuhoji shemeji akasema chanzo dada
Namuuliza wife je umefurahi mwenzio kupigwa je huyu dogo angeua ingekuwa vipi nikaona wife anajibu kwa kejel

Nikasema huyu nikitoa maelezo ya mdomoni hata nielewa alichofanya si sahihi maana ni uchochezi unamshauli vipi mdogo wako apige mke wake

Sio siri wakuu nikamtia makofi mawili matatu wife alafu nikamuuliza je na mimi si nitakuwa sahihi kwa kukupiga
Kiufupi wife akaniletea ndugu zake na mjumbe wa mtaa eti nimempiga

Nikasema hunijui nikamlamba tema makofi mbele yao alafu nikawahadithia kilichopo

Sipendagi kuendeshwa na mwanamke hutaki tembea kawe single na hiyi ni ndoa sasa
Mambo mengine yote uliyoongea ni ya kindoa yanazungumzika.

Ila hili la kumpiga mkeo mbele ya wajumbe wa usuluhishi ni matusi makubwa na ni utoto.

Ni mwiko kabisa kuanzisha kashogi mbele ya watu waliokuja kuwasuluhisha.

Kitendo hicho ulichofanya cha shambulio la aibu ni sawa na kumpigia mtu mahakamani ama kituo cha polisi ukidhania utaonekana mwamba.

kumbe waweza kudhibitiwa kidhalilishaji na watu wakakuchukulia kinyume unavyofikiria wewe, mwisho wa siku ukaanza kujuta na kuomba poh.

Mtu aliyestaarabika hajadili wala kusifia ugomvi, maana ugomvi unabomoa, haujengi.
 
Oa kwanza na ufikishe miaka japo tano uje hapa ushauri wako ni mzuri ila wengine tuna hasira za karibu
Nakumbuka nishawai kuzaba kofi wakili na polis mahakaman ila nilifungwa kama mwezi hivi ndivyo nilivyozaliwa
 
Mpenzi wangu ana mdogo wake wa kiume nae kaoa ila kilichotokea

Hapa majuzi huyu mdogo wa mke wangu aligundua ya kuwa mkewe kaenda kuchepuka

Ila hakuwa na uhakika ila alichokifanya huyu mke wangu akaenda kumpampu mdogo wake
Amtwange makofi mkewe na kweli yule shemeji yangu akapiga mkewe mpaka akazimia

Narudi mimi toka kazini nikakuta wazazi wa huyo mwanamke wanaenda polisi nikajalibu kutetea yakaisha

Hapo sijui kitu basi katika kuhoji shemeji akasema chanzo dada
Namuuliza wife je umefurahi mwenzio kupigwa je huyu dogo angeua ingekuwa vipi nikaona wife anajibu kwa kejel

Nikasema huyu nikitoa maelezo ya mdomoni hata nielewa alichofanya si sahihi maana ni uchochezi unamshauli vipi mdogo wako apige mke wake

Sio siri wakuu nikamtia makofi mawili matatu wife alafu nikamuuliza je na mimi si nitakuwa sahihi kwa kukupiga
Kiufupi wife akaniletea ndugu zake na mjumbe wa mtaa eti nimempiga

Nikasema hunijui nikamlamba tema makofi mbele yao alafu nikawahadithia kilichopo

Sipendagi kuendeshwa na mwanamke hutaki tembea kawe single na hiyi ni ndoa sasa
Nyuzi za mr bann bhana ukifuatilia zote utapata stori moja ndefu sema itakuwa mfumo wa flashback story.
 
Ila wanawake tunazingua nyakati zingine, unakuta unatamani umuendeshe mumeo uwezavyo lkn mwnamke mwenzio wakiendeshna na kaka yako kwa mapenzi yao roho inauma
 
Back
Top Bottom