Je nitakuwa sahihi kwa hili?

Je nitakuwa sahihi kwa hili?

Ndenji five

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
1,985
Reaction score
3,125
Mpenzi wangu ana mdogo wake wa kiume nae kaoa ila kilichotokea

Hapa majuzi huyu mdogo wa mke wangu aligundua ya kuwa mkewe kaenda kuchepuka

Ila hakuwa na uhakika ila alichokifanya huyu mke wangu akaenda kumpampu mdogo wake
Amtwange makofi mkewe na kweli yule shemeji yangu akapiga mkewe mpaka akazimia

Narudi mimi toka kazini nikakuta wazazi wa huyo mwanamke wanaenda polisi nikajalibu kutetea yakaisha

Hapo sijui kitu basi katika kuhoji shemeji akasema chanzo dada
Namuuliza wife je umefurahi mwenzio kupigwa je huyu dogo angeua ingekuwa vipi nikaona wife anajibu kwa kejel

Nikasema huyu nikitoa maelezo ya mdomoni hata nielewa alichofanya si sahihi maana ni uchochezi unamshauli vipi mdogo wako apige mke wake

Sio siri wakuu nikamtia makofi mawili matatu wife alafu nikamuuliza je na mimi si nitakuwa sahihi kwa kukupiga
Kiufupi wife akaniletea ndugu zake na mjumbe wa mtaa eti nimempiga

Nikasema hunijui nikamlamba tema makofi mbele yao alafu nikawahadithia kilichopo

Sipendagi kuendeshwa na mwanamke hutaki tembea kawe single na hiyi ni ndoa sasa
 
Kilichobaki ni kwenda kumdunda huyo mdogo wa mke wako kwa sababu yeye ndio chanzo cha matatizo yote🥊
20211213_235715.jpg
 
Mpenzi wangu ana mdogo wake wa kiume nae kaoa ila kilichotokea

Hapa majuzi huyu mdogo wa mke wangu aligundua ya kuwa mkewe kaenda kuchepuka

Ila hakuwa na uhakika ila alichokifanya huyu mke wangu akaenda kumpampu mdogo wake
Amtwange makofi mkewe na kweli yule shemeji yangu akapiga mkewe mpaka akazimia

Narudi mimi toka kazini nikakuta wazazi wa huyo mwanamke wanaenda polisi nikajalibu kutetea yakaisha

Hapo sijui kitu basi katika kuhoji shemeji akasema chanzo dada
Namuuliza wife je umefurahi mwenzio kupigwa je huyu dogo angeua ingekuwa vipi nikaona wife anajibu kwa kejel

Nikasema huyu nikitoa maelezo ya mdomoni hata nielewa alichofanya si sahihi maana ni uchochezi unamshauli vipi mdogo wako apige mke wake

Sio siri wakuu nikamtia makofi mawili matatu wife alafu nikamuuliza je na mimi si nitakuwa sahihi kwa kukupiga
Kiufupi wife akaniletea ndugu zake na mjumbe wa mtaa eti nimempiga

Nikasema hunijui nikamlamba tema makofi mbele yao alafu nikawahadithia kilichopo

Sipendagi kuendeshwa na mwanamke hutaki tembea kawe single na hiyi ni ndoa sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aseee Ndoa zina Mambo sana, Usikute Wivu ndo Unamuhangaisha tu huyo hana lolote

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Mpenzi wangu ana mdogo wake wa kiume nae kaoa ila kilichotokea

Hapa majuzi huyu mdogo wa mke wangu aligundua ya kuwa mkewe kaenda kuchepuka

Ila hakuwa na uhakika ila alichokifanya huyu mke wangu akaenda kumpampu mdogo wake
Amtwange makofi mkewe na kweli yule shemeji yangu akapiga mkewe mpaka akazimia

Narudi mimi toka kazini nikakuta wazazi wa huyo mwanamke wanaenda polisi nikajalibu kutetea yakaisha

Hapo sijui kitu basi katika kuhoji shemeji akasema chanzo dada
Namuuliza wife je umefurahi mwenzio kupigwa je huyu dogo angeua ingekuwa vipi nikaona wife anajibu kwa kejel

Nikasema huyu nikitoa maelezo ya mdomoni hata nielewa alichofanya si sahihi maana ni uchochezi unamshauli vipi mdogo wako apige mke wake

Sio siri wakuu nikamtia makofi mawili matatu wife alafu nikamuuliza je na mimi si nitakuwa sahihi kwa kukupiga
Kiufupi wife akaniletea ndugu zake na mjumbe wa mtaa eti nimempiga

Nikasema hunijui nikamlamba tema makofi mbele yao alafu nikawahadithia kilichopo

Sipendagi kuendeshwa na mwanamke hutaki tembea kawe single na hiyi ni ndoa sasa
Kusema kweli ulichofanya hapo ni sawa.....na atakua na heshima...sis wanawake tunakela sana
 
Na nilivyo fuatilia nikagundua hilo eti anasema yakuwa mdogo wake mke alienae hamfai
Mkeo ana chuki binafsi na wifi yake, huyo shemeji yako asipokua makini atavunja ndoa yake kwa vimaneno vya dada yake.
Kama mkeo anakupenda nakushauri kuanzia muda huu uwe unatembeza kipondo cha mara kwa mara kwa mkeo mpaka aache ungese wa kuingilia ndoa ya mdogo wake.
 
Back
Top Bottom