Je, nirudiane naye?

Kijana stori nzima inaonyesha hujawashi kula mzigo popote pale...na hiki ndio kinachokuwasha unataka uwe nae akubless nakuhakikishia ukishapata Tunda hutokua na hamu nae kama ilivyo now we Rudisha majeshi ila swala la kusema Una FUTURE NAE wakati mpo Advance acha Ujinga.

#FALCON
 
Natamani nidate na mwanamke yeyote nimuumize hadi achanganyikiwe pumbavu.

sema dogo shule hazijafungwa kwanini unatusumbua kaka zako?
 
Haha eti sijawahi kula mzigo popote
.. anyway Asante kwa ushauri mkuu ..
 
Kwa umri wako niseme tu kwamba una good reasoning, ila una kigugumizi kwenye maamuzi.

Kuhusu Kai, date nae ila usimpe moyo wako wote. Wekeza muda wako mwingi kwenye masomo.

JamiiForums mobile app
 
Natamani nidate na mwanamke yeyote nimuumize hadi achanganyikiwe pumbavu.

sema dogo shule hazijafungwa kwanini unatusumbua kaka zako?
Hivi ikitokea rafiki yako anataka kuoa/ kuolewa na mtu ambae umewahi kudate au tu ushawahi kunjunjana nae mara kadhaa, What will you do? Utamwambia kuwa yule mtu umewahi kuwa nae au utakausha tu?
 
Hivi ikitokea rafiki yako anataka kuoa/ kuolewa na mtu ambae umewahi kudate au tu ushawahi kunjunjana nae mara kadhaa, What will you do? Utamwambia kuwa yule mtu umewahi kuwa nae au utakausha tu?
siwezi kusema neno paka hiyo senario initokee
 
Dah! Ila huku tunabishana na watoto hadi basi. JamiiForums inabidi ianzishe jukwaa letu wazee.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…