Je, nirudiane naye?

Soma kwanza, maliza shule, tafuta hela ndio mapenzi utayaenjoy.
Sasa bado wadogo sana kwa hayo mambo
 
Kama hutaki kusumbuliwa na aliyemtoa bikra mpe mimba na uhakikishe amezaa. Ukifanya hivyo utakuwa salama otherwise utapata tabu sana.
 
Mdogo wangu XII Tz kwanza nikupongeze kwa ku-share hii story hapa jukwaani, nina declare interest (mimi ni mpenzi wa hizi stories)

Pili, tukirudi kwenye andiko sasa, mosi kutoka kwenye ulichokiandika, Lazima ukiri kuwa ulikosea sana kuiacha hiyo bikra ipotee kwa mtu mwingine, (kwani wakati mna date uliwahi kumuomba mchezo? jibu lake lilikuwa ni lipi? naomba unijibu pls.

Pili, kutoka katika andiko, Kuna mahali unasema eti huwezi kumpa vocha sijui nini nini, Kuna shits umeongea hapo (uendeshaji wa mahusiano hauna fomula moja lkn kwenye hili umepuyanga mdogo wangu). Hata Kai anajua kuwa hauna kitu lkn trust me mwanamke anahitaji kuhudumiwa HATA KWA KIDOGO, ondoa hiyo mentality ya kimapokeo, mpe huduma HATA KWA KIDOGO, we ktk pocket money yako unakosa hata 3500/= ya pedi!?

Tatu, wewe unampenda Kai, sasa ukichelewa kumuonesha upendo wakati huu ambao na yy anaonesha kukupenda (kwa kujifanya mgumu), kumbuka kuna msela kasepa na Yamini ya Kai yule akianza kurudisha majeshi trust me atakuwa na nafasi kubwa ya kuuteka moyo wa Kai kuliko ww, (fanya chapu Anza kumuonesha mapenzi)

Nne, usione so kupenda sana wanaume tumeumbwa kupenda mzee, MWANAMKE HUWA HAPENDI WENYEWE, hadi mtu aje atengeneze mazingira SHAWISHI.

So me ushauri wangu, rudiana na Kai na umpende saaaaana, usiogope maumivu ety ooh Kuna siku ataku-cheat sijui, UCHUNGU WA NYANYA CHUNGU NDIYO UTAMU WAKE ETY.

NB: Rudiana na Kai, yule aliyedate naye after ww, akianza kurudisha majeshi ingali ww bado upo dilema, utakuwa huna chako wakati deep in side unampenda Kai.
 
Bado mtoto rafiki angu
 
Mkuu kuhusu kumuomba game, utoto ulikua mwingi sana nilikua mdogo sana hata hivyo na yeye mwenyewe alikua anaogopa kwakua alikua bado bikra.

Hapo namba 2, hayo maneno nimeyatumia kama defensive mechanism lakini sio kwamba nilimaanisha. Najua una fahamu kuwa kuna baadhi ya wanawake hawana shukrani unaweza kujitolea kumsaidia ila mwenyewe akahisi anakuchuna. Pia lazima tukubali kwamba Kai wa sasa sio yule wa zamani, amesha wajua wanaume japokuwa bado anaonyesha upendo wa kweli kwangu hivyo nisingependa kuwekwa kwenye kundi moja na maboya anao wachuna ( kama wapo ) .. ila sio kama ndo nimevunga moja kwa moja, mara chache chache mbona namtoaga sana buku buku hizi za vocha .. sikumaanisha nilichosema bali nilitaka kumjengea mazingira tu yeye asione kama natumia hela kama kigezo cha kumpata . .
 
@XII Tz Ok it's fine, nimekuelewa mdogo wangu, but my take for now, hakikisha unamrudia Kai na unampenda vilivyo.

Halafu if possible fanya mpango umfahamu huyo ex wa Kai hata kwa picha tu, then tafuta weakness za jamaa hasa zile zilizo sababisha yy na Kai kuachana, then wewe zifanyie kazi ziwe strength.

In a nutshell, Hakikisha una-mtreat Kai kwenye ngazi ambayo hata pata japo sekunde ya kumkumbuka huyo ex wake,(utawezaje; rejea paragraph ya pili hapo juu)

me nakutakia kila la kheri mdogo wangu, wewe pamoja na mrembo wako Kai.

#π’π’π’—π’†π’Šπ’”π’ƒπ’†π’‚π’–π’•π’Šπ’‡π’–π’π’


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sijasoma uzi lakin nijibu tu hapana..ukishaachana na mtu usirudiane nae.
 
Bado uko na utoto.
 
 
We dogo ni wa kishua eeh??
Ok achana na hilo swali, unaonekana bado mdogo ila uandishi wako murua umenfanya nichangie.

Uyo manzi unataka kua nae ili kutenkenya mbususu tu au una malengo yako mengine kama ndoa??
Kama ni malengo ya ndoa basi acha nisikitike kidogo mdogo wangu, form six na bado hamjaingia chuo kupanga mawazo ya ndoa na hako kabinti ni kununua maumivu kwa gharama kubwa mno.

Rudiana nae ila si kuweka malengo na matamanio kibao juu yake, kwa hulka yako ya hasira zisizo na msingi akishafika chuo kesho keshokutwa utaachwa na hutakua na cha kumfanya.
 
Hakuna ushauri wa kukupa zaidi ya achana na mapenzi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…