je ninunue hii samsang tab 2 kwa bei hii??

je ninunue hii samsang tab 2 kwa bei hii??

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
kuna rafiki yangu anataka kuniuzia samsang tab 2 kwa sh 450000 je ni halali?? ina kila kitu
 
kwa fedha hiyo unanunua hata gari used!!!sijui ulimaanisha 450000
 
kuna rafiki yangu anataka kuniuzia samsang tab 2 kwa sh 4500000 je ni halali?? ina kila kitu

Kama kwa hiyo hela kataa ni kubwa sana, unaweza kununu hata gari, ila kama ni laki nne na nusu ichukue ila cha muhimu hakikisha kwamba ipo kwenye condition nzuri maana kama itakuwa mbovu hata kwa laki nne na nusu utakuwa unaibiwa
 
duh wazee mnahasira?? haya jamani nimesharekebisha nilimaanisha laki nne unusu
 
Duh! Macho yangu au? 4,500,000 Tablet?

Hii si ni Boda boda 3 au Boxer 2 au bajaj moja.
 
duh wazee mnahasira?? haya jamani nimesharekebisha nilimaanisha laki nne unusu

Cool, jenga uzoefu wa kuweka mkato (,) kwenye namba. Siku nyingine unaweza kujichanganya hata wewe mwenyewe, imagine unakosea cheque nk.
 
Yah n kwel ndo maana nikakuambia mia 4 haki yake na isiwe imechoka.
 
kuna rafiki yangu anataka kuniuzia samsang tab 2 kwa sh 450000 je ni halali?? ina kila kitu

Google "ebay" chagua "smart phones" utaweza kufanya malinganisho huru ya bei kununulia + shipment kulinganisha na hiyo ya 450,000. Lakini hiyo simu Samsang au Samsung?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom