Mimi ni miongoni mwa watu wanaokusumbuliwa na changamoto ya kigugumizi.
Kutokana na kigugumizi nimekosa fursa nyingi, hususani zile zinazonibidi nijielezee kwa jamii jambo fulani; kwani baadhi ya watu wasionijua huisi sijiamini au siwezi.
Leo naomba suluhu kutoka kwenu ndugu zangu.
AMANI IWE NASI!