Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?
Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?
Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba
Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?