Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 20,460
- 14,766
Waziri Mkuu wa Tanzania hawezi kuwa impeached. Impeachment ni mashtaka ya Bunge dhidi ya Rais au Kiongozi Mkuu wa Serikali pale Bunge linapojiridhisha kuwa Rais au Kiongozi Mkuu wa Serikali amevunja Katiba ya Nchi husika!Siyo rais tuu anaweza kuwa impeached.. Impeachment inaweza kutokea pia kwenye nchi ambazo ndani ya mfumo wa uongozi Kuna waziri mkuu..waziri mkuu anaweza kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye.
Mfano mzuri ni Tanzania..nchi zinazofuata mfumo wa presidential democracy kitu Kama hiki ni jambo la kawaida Kupitia mfumo wa "check and balance "
Nakubali hapa kwetu kuna shida kidogo kwa upande wa Wabunge,lakini kama wakiwa na umoja wanaweza kumuondoa Rais yeyote madarakani kama anakwenda kinyume na katiba,katiba inaruhusu.What if haya yangekuwa yanatokea hapa kwetu, waanzilishi wa sakata wangekuwa salama?
Una uhakika?Waziri Mkuu wa Tanzania hawezi kuwa impeached. Impeachment ni mashtaka ya Bunge dhidi ya Rais au Kiongozi Mkuu wa Serikali pale Bunge linapojiridhisha kuwa Rais au Kiongozi Mkuu wa Serikali amevunja Katiba ya Nchi husika! Na mara nyingi adhabu yake ni kumuondoa madarakani muhusika. PM wa Tanzania hawi impeached kwasababu sio Kiongozi wa Mkuu wa Serikali. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndio anaweza kuwa impeached na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Na lipi?
Masahihisho kwanza ni "impeachment" na siyo impretchment bro.Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?
Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?
Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba
Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?
Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?
Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba
Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
Hicho ulichokiandika katiba haikitambui.Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?
Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?
Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba
Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
-ikithibitika ni mgonjwa sana na hataweza tena kusimamia shughuli za serikaliMimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?
Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?
Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba
Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
I smell a ratMimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?
Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?
Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba
Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
Kule jeshini ana jeshi ndani ya jeshi na hawajuani, hakuna anaemuamini mwenzie.Afrika Rais huwa analiweka kwanza bunge mfukoni ili kukwepa impeachment!
Khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vichekesho vya JF. Mlishindwa kuwafanyia impeachment waliotakiwa kuwa impeached mtaweza kwa JPM? Wewe kaa ulale na umasikini wako wa akili. I do not know even how I even wasted my timeMimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?
Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?
Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba
Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?