Wanaumewachache sanawamebaki unawezaje kula pesa ya mwanamke tena single mama aliyedesperate kuwa na mahusiano huyo mdada anachomiss ni love,attention naile bitterness ya kukataliwa na mimba mtoto inamsumbua pia,mleta mada ana roho ngumu kachukua opportunity hiyo,arudishe miamala ya watu hata kama iwe kwa njia ingine kamazawadi au whateverWa Ajabu huyu, kwanza ana mahusiano tayari , pili inaoneshe Hana hisia na huyo msichana na hana future nae. Ila anachanganyikiwa na visenti anavyopata! Kabaki njia panda!
Simply hajui anachokitaka maishani mwake.
mbona mie nazila inamaana ni uzwazwa,undaza na umamaMwanaume kula hela ya mwanamke ni uzwazwa,undaza na umama.
wewe si unatoka majasho kwa majimama,hapo unakula kwajasho lako zedudumbona mie nazila inamaana ni uzwazwa,undaza na umama
Mkuu niazime skumoja mzigo nimlembona mie nazila inamaana ni uzwazwa,undaza na umama
Hapo ndio mtu anachukulia kindness for weakness. Huo ni ulaghai na utapeli...wizi tu kama wizi mwingine.Wanaumewachache sanawamebaki unawezaje kula pesa ya mwanamke tena single mama aliyedesperate kuwa na mahusiano huyo mdada anachomiss ni love,attention naile bitterness ya kukataliwa na mimba mtoto inamsumbua pia,mleta mada ana roho ngumu kachukua opportunity hiyo,arudishe miamala ya watu hata kama iwe kwa njia ingine kamazawadi au whatever
nani sasa hebu taja herufi ya kwanzaMkuu niazime skumoja mzigo nimle
Habari za mchana Wakuu wengi ni Dada zangu na Kaka zangu nazidi kupitia kila Ushauri wa kila mmoja na nazidi kufunguka kiakili zaidi. Napenda kuwashukuru sana. Shauri nazifanyia kazi pia.
Monani sasa hebu taja herufi ya kwanza
hayupo mjini kaenda oman mzee baba
Worst advice ever.Hele unachukua bila ushauri ile mengine unataka ushauri...mrudishie pesa yake halaf umwambia asije wala mwanae asikuite baba
π π π π π πMwanaume haombi hela bhali shobo za hao mademu ndyo utuma pesa kujibebisha ila omba omba ni wanawake tu..