Je kina Maanisha nkienda kesho napewa visa?sidhani kama hicho kikadi ndio visa
Mkuu nataka Kujua kama nkienda kesho ubalozini na icho kikadi napewa visa?si visa ila ni kadi inayoonyesha kuwa uko kwenye list ya wanatakiwa kupewa visa au kuhudumiwa
ngoja kuna mtu nim trace ntakupa jibu kamiliMkuu nataka Kujua kama nkienda kesho ubalozini na icho kikadi napewa visa?
Sawa mkuungoja kuna mtu nim trace ntakupa jibu kamili
kama nilivyokujibu mwanzo ni kwamba suala lako limeingizwa kwenye list ya watu wanaotakiwa kupewa visa,labda tu usiwe na moto sana mkuu unaweza kwenda kesho ukapata au uusipate kesho ukapata siku nyingine,ila utapewa ndani ya muda unaotakiwa ili wewe uwahi masomo yakoSawa mkuu
Asante mkuukama nilivyokujibu mwanzo ni kwamba suala lako limeingizwa kwenye list ya watu wanaotakiwa kupewa visa,labda tu usiwe na moto sana mkuu unaweza kwenda kesho ukapata au uusipate kesho ukapata siku nyingine,ila utapewa ndani ya muda unaotakiwa ili wewe uwahi masomo yako
kila la kheri mkuuAsante mkuu
Appo sawa mkuu... ThanksUmeshapata visa.kuacha passport ili watengeneze visa yako.ukifika unapewa visa yenye passport.jiandae kwa safari tu
Wakuu Habari zenu... Katika harakat za Maisha nikajikuta nimeomba chuo marekan na Nikapata... Nimeenda kwenye interview ubaloz wa marekan.. Nikapigwa Maswali mpaka nkachanganyikiwa alafu mwisho WA siku Nikapewa kikadi niende kesho saa nane na nimeacha passport yangu ubaloz wa marekan.. Je apo nimepata visa?
Mkuu yule mzungu alikuwa anaongea fasta mpaka nikawa nimepoteanaWAKIKUPA HIKO KIKARATASI WANAKUAMBIA KABISA UJE KESHO ITAKUWA TAYARI NA VIZA, NAONA ULITAKA TU TUJUE UMEPATA VIZA
Mkuu yule mzungu alikuwa anaongea fasta mpaka nikawa nimepoteana