Je, nimedukuliwa?

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,710
Reaction score
1,965
Habari zenu?

Hivi hiyo screen shot hapo ina maanisha kitu gani kimetokea kwenye simu yangu?

​
 
Ukiendelea mbele zaidi unaweza kudukuliwa ila hapo ni tahadhari tu kwamba tovuti unayotaka kwenda si salama
 
Inategemea na aina ya ads, mimi JF na site zote ninazotembelea kila siku si block ads,

Pia zipo script za kwako wewe webmaster kulimit adblocker,

Site nyengine ads zao ni malware kabisa,
Mkuu kwa pc nitumie mbinu gani kublock hizo ads make ni kero, natumia windows os, na browser nnayo tumia ni Firefox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…