nodetz
Senior Member
- May 4, 2024
- 173
- 156
Habari wana jf
ANGALIZO.
UZI HUU HAUUSIANI NA DINI KABISA.
NI KWAAJILI YA WATU WANAOWEZA KUFIKIRI NA KUTAFAKARI MAMBO.
Kila mtu amewai kusikia, kuona au ata kuhisi uwepo wa nguvu ya shetani.
Je nikweli kwamba shetani yupo na anafanya kazi au ni mindset zetu zimekaa ivo.
Kila jamii iliyowai kuishi au inayoishi hapa duniani ina namna ya kufana ya kuitambua nguvu hasi yaani wote tunaitambua kama ni nguvu ya shetani.
Lakini baadhi ya watu ikiwemo mimi naona mtizamo huu hauko sawa maana kila jambo positive basi lazima liwe na negative
Mfano
Mchana - usiku
Utajiri - umasikini
Kupenda - kuchukia
Kuzaliwa - kufa
Furaha - hasira
Na mengine mengi.
Jambo moja ambalo karibia binadamu wote tunafana nikua nguvu chanya tunaziona kama nguvu za mungu na nguvu hasi tunaziona kama nguvu za shetani
Tunashindwa kuelewa pia kuwa hicho tunacho kiita shetani kinaweza zalisha nguvu chanya
Mfano. Mwizi masikini anaweza iba pesa na akawa tajiri.
Pia ata nguvu chanya inaweza zalisha nguvu hasi
Mfano. Kutokana na tabia za mtu tajiri kupenda sifa na kuwafurahisha watu anaweza jikuta anarudi kwenye umasikini.
Pia kuna aina ya ushetani ambayo ni mawazo ambayo mtu anayawaza na kumperekea kufanya jambo la ovyo.
Kwa maoni yangu naona shetani ni kitu ambacho hakipo ila sisi tunamfanya awepo ili tunapotenda mabaya tupate wa kumlaumu.
Je unaona niko sahihi??