Je, ni kweli ARV's hupunguza rate ya maambukizi?

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Wakuu habarini!

Nasikia kuwa mtu alieanza kutumia dawa za ARVs uwezo wake wa kuambukiza mtu huwa ni mdogo kulinganisha na mtu ambaye bado hajaanza kutumia.

Ufafanuzi kwa anaefaham zaidi.
 
Hahah! Mkuu umelamba nini demu aliyeungua?

Mimi cha kukushauri kaa muda kama mwezi hivi halafu kapime
 
Ni kweli kabisa mkuu ndio maana unasisitizwa kuanza dawa mapena tu unapogundulika umeambukizwa ili usiambukize wengine.
 
Ni kweli mtu anaetumia dawa kikamilifu uwezo wa kumuambukiza mwingine ni mdogo Sana
 
Nami ningependa kujua toka kwa wenye ujuvi iwapo ni kwel kama mtu anaye tumia dozi kwa usahihi inaweza fikia hatua akienda kucheki status virus vinaweza visionake..yaan akaonekana yuko -ve.
 
Back
Top Bottom