Je niko sawa katika hili?

Je niko sawa katika hili?

watoto tunawapenda sana na ni baraka kwetu ila kuoa kisa kupata watoto ni kosa kubwa sana,kwanza fikiria watoto tunawalea,tunawasomesha tunawaacha wanaenda kuishi maisha yao maisha yako wewe na yna4 yanaendelea.Mkuu oa mwanamke ambae moyo wako umemzimikia wewe ndo umpende mwanamke nakuambia tena oa mwanamke ambae moyo wako unampenda mzeeke pamoja
Sawa sawa mkuu nashukuru kwa ushauri huo murua nitaufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom