britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,285
- 49,224
Umecheka kama mimi aiseeHahaaaaa,hao jamaa huwa wananikera!
Jamaa kanunue memory card uweke kwa simu
600,000Shilingi ngapi kwani wanataka.
HahahaMaisha hayaaa, yan utakuta billionea kama yule asaiv analala kweny godoro lenye kungun au anapiga ndefu kama mimi, tuma hata ka ten mkuu wampe jamaa hata Mma, huwez jua akitoka waweza uule
Suretuma tutamwachia