Je nikikopa kiasi cha laki 5 benk ya Equity, marejesho yakoje na masharti yao yapoje?

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
538
246
wakuu habari za muda. Naomba kuuliza kitu kuhusiana na mkopo kwenye benki ya equity. Nahitaji nikakope laki tano tu niongezee kwenye mtaji wangu. je kwa kiasi hicho marejesho yao yakoje na masharti yao yapoje?.
 
samahani kama nimekuingilia.. huna ndugu kweli wa kukuazima laki tano hadi uende benki upate stress za riba ??

wakuu habari za muda. Naomba kuuliza kitu kuhusiana na mkopo kwenye benki ya equity. Nahitaji nikakope laki tano tu niongezee kwenye mtaji wangu. je kwa kiasi hicho marejesho yao yakoje na masharti yao yapoje?.
 
Equity bank mikopo yao ya kawaida ina riba ya 23% kwa mwaka 1. Kuhusu marejesho inategemea unachukua mkopo wa Muda gani. Miezi 6, 9, 12.
Vizuri nenda ofisini kwao ukapate taarifa sahihi.
 
sijasema aombe kwa mtu... nimesema amuazime yaani akope kwa ndugu na kurudisha..

inawezekana sio mlipaji mzuri wa madeni..

hata rafiki zako kama ni mlipaji huwez kukosa mtu wa kukopesha laki 5

Ni wazi zuri ila si zuri sana. Tuko katika mfumo wa soko huria ambao kwa tafsiri lahisi ni ubepari. Kwenye ubepari kila mtu na maisha yake.

TUJIPANGE kujitegemea.
 
Unaongea usilolijua mkuu.

sio naongea nisilolijua..

mimi ni binadamu na sehem ya jamii.. na matatizo ya kipesa nimeshakutana nayo sana...

kama unaishi vizuri na jamii inayokuzunguka na mlipaji mzuri wa madeni... huwez kukosa mtu wa kukuazima laki 5... kutoka kwa ndugu, jamaa, marafiki na majirani..

ila kama unajitenga.. na mzurumati wa kulipa madeni ya nyuma.. hakuna atakaekukopesha hadi uende benki huko.

laki 5 sio hela nyingi ya kukosa kwa ndugu zako au rafiki zako..

hata ukishindwa unaigawa mara mbili nusu unakopa kwa mwingine na nusu kwa mwingine.. bila kuangaika mateso ya riba za mabenk
 
siku hizi hakuna ndugu mkuu.

wakuu habari za muda. Naomba kuuliza kitu kuhusiana na mkopo kwenye benki ya equity. Nahitaji nikakope laki tano tu niongezee kwenye mtaji wangu. je kwa kiasi hicho marejesho yao yakoje na masharti yao yapoje?.

Kweli kabisa, "Mtegemea cha nguguye hufa maskini" nenda ukakope kunakostahili.

Ushauri wangu, kuliko kusubiri majibu ya huku mtandaoni ni vyema ukaenda kwenye ofisi zao ukawauilza maswali yako yote na ukapewa majibu ya uhakika. Kila la kheri!
 
Kama mnaawezapatalakitano n nyie jaman angalieniupya siowote tunanduugu wanauwezo
 
Achana na equity bank ni wasumbufu,,,qe nenda ACCESS BANK.ukitaka laki 5 utalipa laki na elfu tano kila mwezi kwa miezi 6,wapo vizuri sana jawa majamaaa
 
Back
Top Bottom