Je, nifanyeje nisichepuke?

Je, nifanyeje nisichepuke?

Wadau,

Mim ni mwanaume mwaminifu sana ndani ya ndoa yangu.Sijawahi cheat tangu nianze kuisi na huyu mwanamke mwaka jana mwez wa6.Kwa sasa mkewangu ni mjamzito na nimemsafirisha akajifungulie nyumbani sababu huku tulipo hakuna msaada wowote wa mtu wa karibu kama unavojua masuala ya uzazi.Sasa ni wiki tangu nimsafirishe mke wangu.Ukweli nimemmiss na nimekianza hiki kitabia cha punyeto.

Jamani napiga punyeto kilasiku.Sasa wadau hua nasikia hii kitu inamadhara fulani sasa naombeni ushauri maana asije akarudi wife akakuta sifunction tena.Sasa niendelee au nitafute mchepuko niwe najiliwaza nikimiss mambo fulani kipi bora?

Nitafurahi zaidi wanawake mkijitokeza kunisaidia kwa wingi.Assume ndo mumeo sasa na upo mbali nae.

Afanyaje? Ukizingatia wife anatarajia kurudi mwakani mwezi february
mmmh unayawazia kila siku haiwezekani kila sku uwaze kutombana tuu kila siku jikeep buzz na naimani hiyo hali hautakuwanayo, unaweza ukachepuka tu na ukimwi juu ukamuua mdada wa watu bila hatia yoyote mwanaume jithamini,jiheshimu tafuta hela kumbuka ameenda akija watakuwa wawili na wew ndo baba so think twice before you make any action
 
mkuu usifanye punyeto ni mbaya kiafya utaua misuli yako ya uzazi taratibu afta sometimes ngoma inaanza kusinzia tafuta dem piga mara moja moja tell her no commitment asije kukusumbua!
 
Kumbe!! Sikujua Hilo....Sasa Unamhurumiaje??? No!! Basi Atafute Wa Kufanya Nae Phonesex, Hapa Napo Vipi??? Lakin Kuna Wake Wazembe!! Eti Hata Yupo Mbali Hawez Mridhisha Jamaa Yetu Thru PhoneSex??

Wew sio mume wewe ni mvulanaaa!!
 
Hahahaha we jamaa...... Malaya tena.....?????
wanawake wote hawa wanajitembeza tuu upige punyeto utakuwa ---- sana achana punyeto chaguwa mmoja au nunuwa mabox ya condom kama kumi hiv weka ndani kila siku unatembea nazo tatu ukijisikia unavaa moja unakata malaya au kahaba unampa buku ten unamkula hadi unarizika baadaye unarudi home hadi raha sana mie huwa naitumia njia hiii
 
Back
Top Bottom