JimCarrey
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 227
- 142
Wadau,
Mim ni mwanaume mwaminifu sana ndani ya ndoa yangu.Sijawahi cheat tangu nianze kuisi na huyu mwanamke mwaka jana mwez wa6.Kwa sasa mkewangu ni mjamzito na nimemsafirisha akajifungulie nyumbani sababu huku tulipo hakuna msaada wowote wa mtu wa karibu kama unavojua masuala ya uzazi.Sasa ni wiki tangu nimsafirishe mke wangu.Ukweli nimemmiss na nimekianza hiki kitabia cha punyeto.
Jamani napiga punyeto kilasiku.Sasa wadau hua nasikia hii kitu inamadhara fulani sasa naombeni ushauri maana asije akarudi wife akakuta sifunction tena.Sasa niendelee au nitafute mchepuko niwe najiliwaza nikimiss mambo fulani kipi bora?
Nitafurahi zaidi wanawake mkijitokeza kunisaidia kwa wingi.Assume ndo mumeo sasa na upo mbali nae.
Afanyaje? Ukizingatia wife anatarajia kurudi mwakani mwezi february