Je, nifanye nini?


Watoto wa siku hizi yeye alishakuambia kuwa ana mtu wewe ukabembeleza akakubali sasa nataka kukuuliza ulijuaje kama amekubali na alivokuambia kuwa amekubali alikwambia huyo aliekuwa nae amemweka wapi?
 
Hzo ni dalili kwamba hakukubali ila wewe unaganda kama kupe,achana nae fanya yako tu your waste time
 
jibu alilokupa awali ndo lilikuwa sahihi kukubali kwake ilikuwa baada ya kumg'ang'niza. Possibly yale mapenz yake ya awali yamezd kuchanua nawe akaona aanze kukupotezea mdogomdogo
 

Una umri gani?
 

Your brain is not yet fully developed, get to know that the odds are against you for you being used up as a spair part. You were supposed to know that forcing a relationship is like frogging a dead horse. Leave her please, you aren't needed there.
 
achana naye we tafuta mwingine
 
Kutusumbua kote huku kwa kuhitaji ushauri kumbe ni kwa sababu korodani zakuwasha...nyambafffff!!!

ha ha ha ha ha ha

yawezekana anaamua kufanya hivyo kuliko kukosa kabisa, angepokelewa simu pengine asingalikimbilia huko
 
nyie wanaume mnatuaibisha wenzenu....wanawake kibao mtaani tena unagegeda kwa raha zako unakaa vumilia upuuzi. achana nae mwana.
 
Shiiiit! Yaan unaniuliza mim km anakupenda kwel au laah kwan mi ndo dem wako? Plz give mi wat u r smoking! I want to be crazy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…