elias godfrey
Member
- Oct 13, 2012
- 35
- 6
ampe mihela tu, yeye anaenda ametanguliza kengere zakempe hela....
Jaribu kujikausha na wewe kwa muda, ukiona kauchuna ujue haupo akilini kwake, chapa lapa!
ampe mihela tu, yeye anaenda ametanguliza kengere zake
Kama ujamtia imekula kwako wewe jenga gpa Tu usijitie unagenye utadisko..Habari ndugu zngu mm ni kijana ambaye nko chuo kuna msichana mmoja hv nimetokea kumpenda sanaa nilijaribu kumwambia akaniambia nimechelewa coz tayari ana mtu wke nikajitahidi kumbembeleza bahati nzuri akanielewa so tukawa in relationship sasa cha ajabu huyu msichana amekuwa kimya sana in communication wala hanicheki mpaka mm nianze nikimtumia msg kwa mfano saa 1 usiku anaweza akajibu saa 3 usiku naweza nikampigia asipokee na akipokea nikianza kuongea nae tu ananiambia ana usingizi daah sasa mm ninakua simuelewi kabisa yaani nimevumilia sana mpaka nahisi uvumilivu unaanza kunishinda aisee naombeni ushauri wenu nifanyaje na je ni kweli ananipenda au?
Tatizo mnakuwa ving'ang'anizi muno!... ulishaambiwa umechelewa lakini bado unajifanya huelewi. Sasa subiri fumanizi
Kama ujamtia imekula kwako wewe jenga gpa Tu usijitie unagenye utadisko..
Ukiona manyoya jua kashatafunwa kitambooooooo!!
Ndio nataka nifanye mpango nimtie
Duuuh una maana gn wngu
Naweza nikampigia asipokee na akipokea nikianza kuongea nae tu ananiambia ana usingizi daah sasa mimi ninakua simuelewi kabisa yaani nimevumilia sana mpaka nahisi uvumilivu unaanza kunishinda aise, naombeni ushauri wenu nifanyaje na je ni kweli ananipenda au?
Khaa, umtie? Unataka umtie kwenye nini bwana!Ndio nataka nifanye mpango nimtie
Ndio nataka nifanye mpango nimtie