Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 5,948
- 22,276
Kama unahitaji Samsung chukua S Series ila bei zake zimechangamka.Nzuri ni zipi kaka
Kama unahitaji Samsung chukua S Series ila bei zake zimechangamka.Nzuri ni zipi kaka
😂 maana hizo infinix betri cc zake ni mkataba, unakuta ina 6000 mAh alafu pixel 3150 mAh si tatizo.😂 😂 😂 😂 😂
Unanunua duka la Samsung au wakala anayetambulikana na Samsung?GB 4 Ram 64 nimeambiwa 350,000 TZS