Je, nichukue hii Samsung Galaxy A 14?

Je, nichukue hii Samsung Galaxy A 14?

KISS 100

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
528
Reaction score
1,125
Salam,naomba ushauri wenu,je Samsung hii inasumbuaga au zina historia mbaya?
Hapa duka x nimeambiwa Hiyo Ram 4 internal storage 64 sh 370,000 TZS.
IMG-20231121-WA0013.jpg
 
A14, A24, A34 zote ni level ya infinix tuu...

Ni bora kununua infinix ya laki 3 kuliko samsung ya laki 3.

Nakushauri angalau chukua kuanzia A34..
Samsung A series zote n matolea ya china Vietnam Hizi za lak mbili laki tatu zimewekw chip na mazaga kama akina infinix na tecno ndo maan bei zipo chini

A series za kuanzia laki 5 nd angalau zimewekw zile level za Samsung
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom