Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 263
Kila nikijaribu kucheki comments za uchaguzi wa mwaka huu, naona zinatolewa na wanaume tu...! Jamani tunatafunwa na nini? Ni kwamba wadada/wamama zetu wamefanikiwa kutishiwa kuwa iwapo watachagua upinzani kutatoweka amani? Au ni siasa siri za mama salma na wanawake nchini? Ningeomba dada zangu na mama zangu watujuze siri iliopo...!