KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 545
Yaani natabasamu kabla ya kukujibu, kwa kweli ....ukiwa huna hili wala lile unashtuka na kofi moja zito la uso linakupeleka kufumba macho, kabla huja kaa sawa inakuja ngumi ya uso halafu unasikia sauti ya anae kupiga ikisema NILIKWAMBIA IPO SIKU NITAKUKAMATA TU ile kuinua sura unakutana na sura usiyoifahamu kabisaaaaa!!! halafu na yeye anashtuka baada ya kukuona kisha anakwambia SAMAHANI NIMEKUFANANISHA
Je ni uamuziii gani utachukua....
Usimtoe roho, mpe adhabu nyingine yoyotenitamtoa roho!