Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,846
Nina mtoto wa ndugu yangu ana umri wa takriban miaka 10 ni wa kiume, tumemtoa kijijini alikokuwa anaishi na baby Na Bibi Yake mzaa mama yake, lengo la kumchukua ni kutaka asome na kuondokana mazingira ambayo yangempekea hata kujifunza Wizi n.k !
Sasa tumeishi naye sasa Kwa miaka miwili tumeshambadilisha Shule mbili anatosoma Kwa sasa ni ya tatu ambazo zote ni Shule za kutwa, lakini pamoja na umri wake kuwa mkubwa lakini maendeleo Yake ya darasani ni madogo sana tena ya kukatisha tamaa, amewekewa hadi twisheni lakini haijaweza kusaidia hadi sasa,
Mtoto ni mtukutu kupita kiasi , anapiga watoto wa Watu shuleni, ni muongo, hapendi kusoma, hesabu rahisi hajui, yani tunafikiria kumrudisha kijijini tumeshamjulisha babu Yake na mama Yake kuwa Temu hii iliyobaki asipobadilika namrudisha yani ukitaka asikukere usifuatilie mambo Yake ya Shule nyumbani penyewe acheni tu jamani!
Sasa ningependa Kama kuna Shule ya boarding ya watoto watukutu tumpeleke huko Mimi niko radhi kwenda kukopa ada yake aende tu wakagangaike nae hadi aelewe na kujitambua!