naona hujaandika vizuri ikaeleweka. unasema kuna afisa mmoja alikualika, ofisi/ kampuni hiyo ni yake? ni bosi wako kazini? umuhimu wa warsha hizo nini? je ni pesa peke yake? wewe hupati pesa bila warsha? yeye ndiye kashika ajira yako? kwa nini akualike wewe tu? ameshakupa uchaguzi ndoa na pesa sasa umeshindwa chagua? kwani wewe ndo unahudumia mme wako? kwani hulipwi mshahara hadi uende warsha?
siyo sahihi amekuonea sasa mwambie pesa sitaki nataka ndoa
Hiyo ni sexual harassment ya hali ya juu, nenda TAMWA, mfyatue tu.
Hana adabu hata chembe huyo, hiyo rushwa anayoitaka ni dhambi kuliko rushwa ya kuomba pesa. Maana ni dhambi (rushwa) juu ya dhambi (zinaa).
duu wanachafua jukwaa tuMmmmmhm....
Date of Birth October 31, 1999 (14)....
TUZIRUDIE TU ID ZETU ZA ZAMANI....
umenena mkuu. kuna mtu aliwahi kupost humu kwamba hata utumie user name, avatar fake haziwezi kubadili uhalisia wakoMmmmmhm....
Date of Birth October 31, 1999 (14)....
TUZIRUDIE TU ID ZETU ZA ZAMANI....
duu wanachafua jukwaa tu
Mmmmmhm....
Date of Birth October 31, 1999 (14)....
TUZIRUDIE TU ID ZETU ZA ZAMANI....
Namba yako ya simu huyo ofisa aliipataje? pagumu hapo
Naombeni ushauri wana jf kuna ofisa mmoja alinialika kwenye warsha nilikwenda na kushiriki siku kadhaa nikiwa huko akanitaka kimapenzi nikamweleza kuwa Niko kwenye ndoa niliporudi nyumbani akatuma msg ya mapenzi kwangu kuwa nikimpa atanifanyia makubwa hiyo msg ikaonwa na Mme wangu ugomvi mkubwa ukatokea na nikamweleza Mme Wangu hali halisi,na kumtaarifu yule afisa kilichojili sasa siku chache zijazo kuna semina nyingine Jana kanitumia ujumbe hawezi kuniita tena eidha nichague ndoa au pesa na kujiendeleza kielimu naomba ushari kabla sijamuanika kwani Nina msg zake nyingi za kijinga na nimeona kama unyanyasaji kwangu.
siyo sahihi amekuonea sasa mwambie pesa sitaki nataka ndoa
Inawezekana huko ibilisi aliwapitia kwa bahati mbaya mkategemea yangekwisha kwa bahati mbaya ofisa nae akanogewa, nafikiri ofisa hajakosea labda kuna vitu mmeshindwana ndo maana inaleta mtafaruku wote huo.ananifahamu tunafanya kazi idara moja yy yupo mkoa jirani nami kumbuka nimeshakwenda semina miezi michache iliyopita na ndipo alipoanzia hivyo vikopakopa vyake na kiukweli nilikuwa namuheshimu kama baba na kumpa heshima hiyo.
yupo elimu na tulialikwa kama kumi hv jinsia tofauti.
Tyta aisee...Mmmmmhm....
Date of Birth October 31, 1999 (14)....
TUZIRUDIE TU ID ZETU ZA ZAMANI....