Je ni sahihi mtoto wa kike mwenye miaka 15 kumiliki simu(smart phone) huku bado anasoma?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Kwa wazazi, je ni sahihi kumnunulia binti yako wa miaka 14-15 simu hizi za kisasa huku bado anasoma?

Naomba kujua mawazo yenu, je ni sahihi na kama sio sahihi pia kwa sababu gani?

Ahsante.
 
Nilipomaliza A'level ndipo nilipopewa fursa ya kuwa na simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…