Je ni sahihi MSD kuisaidia Twiga Stars wakati hospitali hazina dawa?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
kuna vitu huwa vinatokea nchini huwa vinanichanganya akili sana.jana mkurugenzi wa bohari ya dawa(MSD) kanda ya mashariki alimkabidhi hundi ya shillingi milioni 10 katibu wa TFF kama mchango wa shirika hilo kwa Twiga stars.sikatai kwamba twiga stars inastahili kusaidiwa na wadau mbalimbali ikiwemo MSD lakini swali langu je ni sahihi kimantiki kwa MSD kusaidia twiga stars huku tukiambiwa mahospitali hayana dawa na mojawapo ya tatizo ni ukosefu wa hela?
karibuni wadau.......
 
kuna vitu huwa vinatokea nchini huwa vinanichanganya akili sana.jana mkurugenzi wa bohari ya dawa(msd) kanda ya mashariki alimkabidhi hundi ya shillingi milioni 10 katibu wa tff kama mchango wa shirika hilo kwa twiga stars.sikatai kwamba twiga stars inastahili kusaidiwa na wadau mbalimbali ikiwemo msd lakini swali langu je ni sahihi kimantiki kwa msd kusaidia twiga stars huku tukiambiwa mahospitali hayana dawa na mojawapo ya tatizo ni ukosefu wa hela?
Karibuni wadau.......

hiyo ni cheki uliyoiona kaulize halisi ilioandikwa utakoma na dunia hiii kuna sifuri mwisho nchi tamu hii
 
halafu juzi nilimuona mkurugenzi mmoja wa MSD akiiambia kamati ya bunge huduma za jamii kwamba wana ukata wa fedha na wanaidai serikali fedha nyingi hivyo sio rahisi kwa wao kusupply dawa na vifaa tiba kwenye mahospitali.
 
Hawa jamaa wanadawa nyingi sana mpaka zinaharibika kwenye mabohari yao, ukosefu wa dawa huenda unatokana ugumu wa usambazaji kwenye mahospital kutokana na miundombinu mibovu, Unakumbuka mwakajan walichoma dawa baada ya kuharibika zikiwa kwenye bohari zao
 
kuna vitu huwa vinatokea nchini huwa vinanichanganya akili sana.jana mkurugenzi wa bohari ya dawa(MSD) kanda ya mashariki alimkabidhi hundi ya shillingi milioni 10 katibu wa TFF kama mchango wa shirika hilo kwa Twiga stars.sikatai kwamba twiga stars inastahili kusaidiwa na wadau mbalimbali ikiwemo MSD lakini swali langu je ni sahihi kimantiki kwa MSD kusaidia twiga stars huku tukiambiwa mahospitali hayana dawa na mojawapo ya tatizo ni ukosefu wa hela?
karibuni wadau.......
Mkuu kama hii ni kweli basi itakuwa ni kituko. Huyo aliyetoa hiyo pesa anatakiwa kuwajibishwa. kwani wizara ya michezo haina budget ya twiga stars. Yaani zahanati jazina panadol leo wanatoa million 10 kwa twiga. hata kama inaenda kombe la dunia siwezi kuunga mkono kitendo hicho. Hii inastahili kufanywa na TBL au Coca cola m, bank kwa ajili ua kujitangaza na siyo pesa zetu za panadol.
 
miundo mbinu mibovu wapi bana.haya ni majibu wanaopewa wanasiasa tu.hivi kupeleka dawa Amana,mwananyamala,muhimbili,dodoma reg hosp,mt meru hospital(hapa palikosa dawa hadi mganga mkuu kakoswa kufukuzwa) kunahitaji kiundo mbinu gani.
 
I guess we need our football up, but not with the cut from important demands.
I doubt this behaviour of gorvemental organ to sponsor entertainment issues.
In most cases, companies supporting football in other places do get adverts in return, and thats why liquor brands, network providers, casinos and other big earner are stakeholders in this kind of business.
Does MSD need this kind of promo?
I guess something is wrong somewhere...
 
Ndiyo matokeo ya Uongozi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ulio chini ya Waziri Hadji Mponda, Naibu wake Lucy Nkya na Katibu Mkuu Blandina Nyoni! Kuna siku nadhani wagonjwa nao watagoma kupinga uongozi mbovu uliopo pale wizarani!
 
I guess we need our football up, but not with the cut from important demands.
I doubt this behaviour of gorvemental organ to sponsor entertainment issues.
In most cases, companies supporting football in other places do get adverts in return, and thats why liquor brands, network providers, casinos and other big earner are stakeholders in this kind of business.
Does MSD need this kind of promo?
I guess something is wrong somewhere...

kuna ka harufu cha ufisadi hapa
 
Mkuu kama hii ni kweli basi itakuwa ni kituko. Huyo aliyetoa hiyo pesa anatakiwa kuwajibishwa. kwani wizara ya michezo haina budget ya twiga stars. Yaani zahanati jazina panadol leo wanatoa million 10 kwa twiga. hata kama inaenda kombe la dunia siwezi kuunga mkono kitendo hicho. Hii inastahili kufanywa na TBL au Coca cola m, bank kwa ajili ua kujitangaza na siyo pesa zetu za panadol.
kwa hili utawaambia madaktari wasigome eti hakuna fedha.
 
MSD wanafanya biashara ipi hadi wasaidie timu inayo fungwa kila mara

MSD wanazo pesa za kutosha kujiendesha wenyewe kweli, mbona dawa tunanunua, ni wangapi wanao faidi michezo hii hasa huu wa wanawake

Hapa ni dili tu wanatafuta mlango wa kulia pesa za umma lakini ipo siku kitaeleweka tu we ngoja dah !!
 
wananchi madaktari wanafahamu na kuvumilia uozo mwingi.leo hii badala ya MSD kwenda mawilayani na kuondoa vifaa feki vya kupimia ukimwi wao wanasaidia twiga stars
 
Misaada kama hii inatakiwa itolewe na taasisi zinazojiendesha kibiashara, mfano bandari, mabenki n.k na inategemea faida zinazopatikana na huduma kwa jamii, sasa hawa huduma mbovu, mahospital yanakosa mpaka panadol alafu wanachezea pesa zetu tu bila ya kuogopa. hapa kuna namna tu!
 
kuna vitu huwa vinatokea nchini huwa vinanichanganya akili sana.jana mkurugenzi wa bohari ya dawa(MSD) kanda ya mashariki alimkabidhi hundi ya shillingi milioni 10 katibu wa TFF kama mchango wa shirika hilo kwa Twiga stars.sikatai kwamba twiga stars inastahili kusaidiwa na wadau mbalimbali ikiwemo MSD lakini swali langu je ni sahihi kimantiki kwa MSD kusaidia twiga stars huku tukiambiwa mahospitali hayana dawa na mojawapo ya tatizo ni ukosefu wa hela?
karibuni wadau.......
Na huyu aliyepitisha cheki hiyo ni Daktari ambaye nayajua matatizo ya afya nchini.. halafu tunalaumu serikali ktk matumizi wakati hawa hawa viongozi wetu wanapopewa fungu la matumizi huchomeka matumizi kama haya..
 
mkuu huyo aliyepitisha hakuwa kwenye mgomo.hafanyi kazi hospitalini ndio maana akiambiwa hakuna gloves haelewi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom