Je, ni sahihi kwa wapinga Christmas ya 25 December kuchangamkia na kupokea Christmas bonus, promo, zawadi na n.k

Mkuu Asante kwa maoni
Kama neno "kupinga" limekuwa sio zuri samahani kwa hilo. Sababu hata Mimi mwenyewe ni moja ya wafaidi katika shrerehe za IDD hivyo sina ugomvi na IDD wala imani zetu.

Lengo la Uzi kama umeusoma kwa umakini ni "Christmas" na sio "IDD" au imani zetu. Hivyo jaribu kumakinika na nilichoeleza kwenye uzi husika na sio nje ya hapo.

KARIBU
Labda ungerudi kwenye title yako, Ungeona ulichoandikwa, kutajwa kwa Idd ama sherehe za harusi na misiba, ni mifano tu, haijawekwa kama ndicho kinachozungumziwa, ninajua mada inahusu, wanaoipinga Crismas.
 
Asante kwa kunielewa
Kama unamchango zaidi kuhusu content ya uzi KARIBU
 
Back
Top Bottom