Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 883
- 1,835
Hata huko mbeya inategemea na ukaribu wako na huo msiba.Kwa Mbeya no sahihi kabisa!
Watu wananunua kitimoto, ndizi rosti, maji n.k
Nadhani inategemea hasa na jamii husika
Naunga mkono hojaKufiwa na kuomboleza haimaanishi shughuli nyingine zisimame hata zile za metaboliki! Lah bado zitaendelea hivyo wafiwa wanahitaji huduma mbalimbali.
Unauza maji, juice, soda ama vilevi na upo karibu na msiba. Fungua biashara yako, muda wa maziko funga, mkitoka huko fungua watu wale vitu.
Hiyo ndo siku ya kula pesa, wateja wamejileta wenyewe na pesa wanayo.
Wenye biashara wajue ni mkusanyiko wa msiba sio biashara.Kichwa kinajieleza
Je ni sahihi kupeleka biashara eneo lenye msiba.?
Kama juice matunda n.k
Ni sahihi..?
NAWASILISHA:
kuna mama wa watu wamemmanga kisa anauza ndiz msibaniKwa Mbeya ni sahihi kabisa!
Watu wananunua kitimoto, ndizi rosti, maji n.k
Nadhani inategemea hasa na jamii husika
Msiba ni sherehe ya mtu ya mwishoWatu wapo kwenye majonzi unaleta masihara!!!
Biashara na msiba wapi na wapi?
Eti lakini kula kunahitajika.! kwenye familia za k maskn unaweza kuweka biashara wageni wengine wanakosa chakula soWatu wapo kwenye majonzi unaleta masihara!!!
Biashara na msiba wapi na wapi?
Sidhani kama ni sherehe labda useme mkusanyiko waMsiba ni sherehe ya mtu ya mwisho
Biashara inakuwepo mbali kidogo na msiba,watu watakapo hitaji vitu....basi watavifuata huko,ki utanaduni wa wengi hiyo Haileti picha nzuri mbele ya wafiwa.Eti lakini kula kunahitajika.! kwenye familia za k maskn unaweza kuweka biashara wageni wengine wanakosa chakula so
Fursa,itumie msibani watu wengiKichwa kinajieleza
Je ni sahihi kupeleka biashara eneo lenye msiba.?
Kama juice matunda n.k
Ni sahihi..?
NAWASILISHA:
Wengine wageni mpaka uwaleteeBiashara inakuwepo mbali kidogo na msiba,watu watakapo hitaji vitu....basi watavifuata huko,ki utanaduni wa wengi hiyo Haileti picha nzuri mbele ya wafiwa.
Msibani wapo watu ambao kazi yao ni kuwahudumia wafiwa na wageni.Wengine wageni mpaka uwaletee