Mada imefungwa na comment hiiTatizo la Kwanza ni chama cha mapinduzi
Walimuuwa mwenye haki,wakafikiri watatawala kwa amani nabado mpaka watubuKaribuni tuyabainishe sote labda viongozi watafunguka akili karibuni.
Hata hao unaowasema walishajichokea,Hebu na mie niandike walau kidogo tena kwa uch7ngu wa kulia kabisa
Kuna watu pahala wanazembea kumsaidia mama na lawama ya kwanza ni TISS
TISS mna mikono hodari macho yenye lenzi kali lakini mmeshindwa kumsaidia mama
Watu wanatuchezea Watanzania kabisa nawambia. Sina ushahidi wowote lakini kabisa nawaeleza roho Mungu kuna kitu ananiambia kwamba haya yanayoendelea ni hujuma.
Haiwezekani leo tu eti mabwawa hayana maji
Leo tu mala eti hakuna maji
Leo tu gafla sijui hiki sijui kile ....
Nawaomba sana nyie watu saidieni nchi isonge mbele waonaotuhujumu mnawajua mwogopeni Mungu jamani tusaidieni Watanzania
Mkiamua mnaweza basi roho wa Mungu awape kutenda kwa hekima mkitanguliza maslahi ya wanyonge.