je ni mwanamke au mwanaume?

je ni mwanamke au mwanaume?

Kuna maneno kama,mwaya,shosti,mpenzi(sio kwenye mapenzi)na akhaa,hayo ni baadhi ya viashiria vya kike.

Ukiona mwanaume ana viashiria hivi,atakua na walakini!
 
Kuna maneno kama,mwaya,shosti,mpenzi(sio kwenye mapenzi)na akhaa,hayo ni baadhi ya viashiria vya kike.

Ukiona mwanaume ana viashiria hivi,atakua na walakini!

ni kweli kiongozi. maneno haya yakisemwa na mwanaume lazima utajiuliza mara mbili kama yuko sawa au la?
 
sasa wapo wale ambao hawatumii kabisa maneno kama haya vitu gani vitakufanya mjue kuwa yeye ni jinsia gani.
mfano
mwanamke utamjua kwa kulalamika kila wakati, na mbinu nyingine za kisaikolojia mfano wanawake wengi hupenda kujumuisha mambo kusikilizwa yeye, na kupewa attention.
nafikiri ukizama sana katika content ya mazungumzo na mtu huyo utajua kuwa huyu ni mwanamke au mwanaume,
 
Kuna maneno kama,mwaya,shosti,mpenzi(sio kwenye mapenzi)na akhaa,hayo ni baadhi ya viashiria vya kike.

Ukiona mwanaume ana viashiria hivi,atakua na walakini!

hata hili, mamii naona wanawake wengi hulitumia
 
Mi nkisikia lol, mwenzanguu,, ile ya kuweka aje mwishon et nmenunajee, kaliajee,,
 
Kama ni kwenye maandishi, utamgundua mwanamke kwa tabia ya kupenda kutumia maneno kama dia (sio dear), xana ( badala ya sana), mpenzi (hata kama rafiki wa kawaida), mwaya, shosti/shostito, bebito, shoga (si katika maana iliyoharibiwa). Kiufupi wanawake hupenda kutumia maneno marahisi/yaliyorahisishwa na malaini (simplified and soft).

Pia wanapenda kutumia maneno ya kitoto kama vile mamii/mumy, dadii/daddy. Kwa kiasi kikubwa hutumia pia maneno ya kuonyesha huruma kama jamani (low tone), maskini, sijui nisemeje nk.
Tahadhari: Baadhi ya wanaume "walaini" naona wameanza pia kutumia maneno kama hayo. Hats hivyo naweza kusema kuwa wenye "hati miliki" na maneno hayo ni wanawake.

Nikiri kuwa sifahamu maneno yanayotumiwa zaidi na wanaume (labda sababu mimi ni mwanaume). Nadhani wanawake watakuwa na ufahamu zaidi kuhusu hilo.
 
Realy! Kuna lugha za kike na kiume ila wapo wachache ambao huwezi kutafautisha
 
Hamna jinsi ya kujua labda adi umsikie sauti.
 
Back
Top Bottom