the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,573
- 2,944
Mi miaka mitatu mizima mpaka tunakaribia kugiradyueti ndo akanionea huruma akanipa kwa masharti kuwa nisimsumbue tena wala kumfuatilia. Ajabu sasa nilipiga shoo mbovu sijawahi ona mpaka akaniuliza: miaka mitatu mizima unanihangaisha na mambo menyewe ndo haya?Sio wote mkuu.
Huwezi amini kuna manzi nilimfuatilia semister mbili na sikumpata
Pole mkuu [emoji28]Mi miaka mitatu mizima mpaka tunakaribia kugiradyueti ndo akanionea huruma akanipa kwa masharti kuwa nisimsumbue tena wala kumfuatilia. Ajabu sasa nilipiga shoo mbovu sijawahi ona mpaka akaniuliza: miaka mitatu mizima unanihangaisha na mambo menyewe ndo haya?
J popote ulipo, sitakaa nikusahau dadeki [emoji16][emoji16][emoji16]
But ulikuwa mwepes kama lion messi...auSio wote mkuu.
Huwezi amini kuna manzi nilimfuatilia semister mbili na sikumpata
Daaah tuendelee kuomba tu Mungu atunusuru na hiliSijui niseme maisha ni magumu sana au sijui niseme utandawazi!!!kwanini mabinti wa vyuo wanakuwa warahisi sana kutongozeka!!
Yan ukigusa imooooo tena ukiwa mwepesi kama lionel messi aloooooo haichukui hata siku mbili yupo geto sasa hapo ukiwa na meno kama ya fisi yaani unakula tu mifupa kwa mrija
Tena usilogwe ukawapeleka magetoni tena karoom kako kawe kasafi utagandwa mpaka uimbe haleluyaaah
Sio wote mkuu.
Huwezi amini kuna manzi nilimfuatilia semister mbili na sikumpata
Haya mambo huwa upepo ukivuma vyema kila ukigusa imo.
Daaah tuendelee kuomba tu Mungu atunusuru na hili
Maisha magumu sio wanachuo tu,hata huku uswahilini mambo ni tofauti kabisa yaani ukijaribu tu kumuita binti huyo unaye
Swala la urahisi wa manzi inategemea na hulka yake binafsi, sio lazima awe chuo ndio atakua mrahisi mkuu maana hata mtaani wapo pia
Sema mazingira ya chuo yanampa support kuonyesha hulka yake maana anakua huru tena mbali na familia, akiwa nyumbani anaweza kua na hulka hiyo ila mazingira yasimruhusu kufanya hivyo kutokana na malezi
Mfano kutoka home kuja kukupa mechi wengine ni ngumu sababu akitoka lazima ieleweke anakwenda wapi na atatumia muda gani so kwavyovyote utaona kama anakaza kumbe ni mazingira, ila Akiwa chuo ni utawala wake binafsi ataamua mwenyewe muda wa kuingia na kutoka
Ni swala la mazingira tu ndio humfanya aonyeshe uhalisia wake
But ulikuwa mwepes kama lion messi...au
Tusiokuwa na mageto tumeukosa utamu wa wanachuo