Je ni lazima?

Je ni lazima?

Hivi ni lazima mke mpya abadilishe mpangilio wa mazaga zaga chumbani kwa mume wake mpya?
Tatizo ni nini? Kwa ufahamu wangu dada zetu walio wengi ni wataalam wa kupamba na kupanga hususani kama mna uhusiano wa namna hiyo na wewe mwenyewe nyumbani kwako kuko hovyo! Katika zoezi hili, kila mwanamke hupendelea mpangilio wa aina fulani ndani ya nyumba na ni ngumu namna ya upangaji kufanana na ndiyo maana huyo mpya kaja na mpangilio mpya!
Mi nafikiri hilo si suala la kuumiza kichwa, bali ni jambo jema maana nyumba yako inabadilishwa muonekano na kupendezeshwa zaidi.
 
Swali lako ni jepesi sana unatusumbua tu akili zetu...waulize shemeji zako watakuwa na majibu ya jinsi ndugu yao alivyo.
 
Sio lazima, ila mara nyingi taste hutofautiana hivyo ni nzuri kutii kiu yake.

Looks like u r still in love with ur X ndio maana unaoneshwa kuhold on to the memory. Unaonaje ukienda kumuomba mrejeane kuliko kumuumiza huyo wa sasa hivi na wewe mwenyewe!
 
Hivi ni lazima mke mpya abadilishe mpangilio wa mazaga zaga chumbani kwa mume wake mpya?

Kocha akipew timu, lazima aingize mifumo mipya . Maana yake ni kwamba mifumo ilotumiwa na kocha wa zamani ilikuwa mibovu. Ndo mana timu ikawa inachemaka
ANGALIZO:
Neno langu si sheria
 
Mwachie uhuru bana wa kukiremba chumba labda mpangilio wako ulikuwa ni wa kinjemba njemba hauna mvuto kabisa kwa mkeo...basi hata mke kukipanga chumba upya inakuwa issue!!! DuH!!!!

Hivi ni lazima mke mpya abadilishe mpangilio wa mazaga zaga chumbani kwa mume wake mpya?
 
Back
Top Bottom