Je ni kweli?

Dr ni kweli kuwa mwanamke asiyetoka ule ute unaovutika kama gundi hawezi kubeba mimba?
kwa kawaida mwanamke anatakiwa kutoka ute kabla ya tendo la ngono. hii hutoke pale mnapo tamanishana (chezeana , kufanya romans), kazi za ute huu ni kuzuia michubukko wakati wa tendo, na pia kusaidia mbegu za kiuume kwenda kwa haraka katika mirija ya mayai ya kike. kama mwana mke hatoki ute huo wakati huo basi ni kwamba bwana hajmridhisha na yeye hajapata nyege, au hana feeling, ni rigid.
pia ute kawaida hutoa wakati mwanamke anapata ovulation, yaani yai linatoka. wakati huu mwanamke hujisikia joto kupanda na kutaka kufanya mapenzi. ni kipindi hiki ambapo mwanamke huweza pata mimba kwa urahisi. lakini kutotoka ute kisiwe chanzo cha kusema kwamba mwanamke hapati mimba si kweli. pia kumbuka kuwa ute utokao wakati wa kushikana au romans hautoki katika mirija, bali katika tezi zilizoko katika mashavu ya uke wa mwanamke (k*m*)
 
Back
Top Bottom