Ni kweli; binti akiwa nyumbani - akiwa chini ya miaka 25 anakuwa hajapevuka kiakili hivyo anakuwepo tu hapo nyumbani. Wazazi wake wanakuwa wakihofia kubebeshwa mimba akiwa nyumbani.
Binti huyo akivuka miaka 25 anawaweka wazi wazazi wake wampe mtaji ili aanze biashara hapo nyumbani. Wakimpa mtaji kwa kuwa hajui kinachoendelea mtaani anaamua kuanza kutengeneza barafu hapo nyumbani. Kwa kuwa hawezi kutembeza anaamua kuandika bango la kunadi biashara yake ya barafu.