Hahahha jinsi wanawake wanachukulia tendo kama kumridhisha mwanaume yaani wao wanajitoa katika zoezi lakini usipo walizisha utasikia maneno yao na pia kama umemkuta virgin kweli umemtumia lakin kama haujamkuta hapo hapana mmetumianaMara nyingi utawasikia wanawake wakilalamika kwamba,wanaume wakishawatumia na kuwachoka wanaachwa,ikiwa kile kitendo ni raha kwa wote wawili kwanini mmoja aseme anatumika?mmekuwa marafiki kwa miezi au miaka kadhaa mnaamua kuachana kwa sababu za hapa na pale mwanaume ukimwambia mwanamke naomba ile laptop niliyokuazima unirudishie,utasikia sikupi nng'oo ulikuwa unanitumia bure!!
Kwanini hukuamulia ugomvi?Juzi kati nilikua bar mmoja nikamsikia kijana mmoja wa dar akimlalamikia jimama fulani kwamba amemchezea halafu anataka kumuacha!
Najaribu kuunganisha hilo tukio na huu Uzi!
Ni kwasababu watoto watakao zaliwa watatumia majina ya mwanaume na si vinginevyo,na mwanamke unakuwa tayari umehamia kwa mumeo milele,lakini si katika suala la kutumikaUnadhani kwenye ndoa kwa nini mwanaume ndio hutoa mahari wakati ndoa ni faida kwa wote wawili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe mzushiJuzi kati nilikua bar mmoja nikamsikia kijana mmoja wa dar akimlalamikia jimama fulani kwamba amemchezea halafu anataka kumuacha!
Najaribu kuunganisha hilo tukio na huu Uzi!
Uko sahihiHahahha jinsi wanawake wanachukulia tendo kama kumridhisha mwanaume yaani wao wanajitoa katika zoezi lakini usipo walizisha utasikia maneno yao na pia kama umemkuta virgin kweli umemtumia lakin kama haujamkuta hapo hapana mmetumiana
Nilitaka kuendelea kumsikia huyo kijana wa Dar ni jinsi gani jimama limemchezea!Kwanini hukuamulia ugomvi?
Ni kweli Mkuu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe mzushi
Enheee, ikaishiaje?Nilitaka kuendelea kumsikia huyo kijana wa Dar ni jinsi gani jimama limemchezea!
Kwa mantiki ya kawaida tu......uchi/uke/papuchi/nyapu/kipochi manyoya hubadilika size kutokana na size zinazoingia while kwa mwanaume dick huwa inaremain constant regardles na inakutana na size ya namna gani
So obviously ulichouliza jibu ni ndio
Ndiyo maana timu yetu Man United haijafuzu kucheza champions league
Bahati mbaya sikufanikiwa kuwasikiliza mpaka mwisho!Enheee, ikaishiaje?
Kwanini?
Lakini msimu ujao mambo yatakuwa tofauti...hautaamini
Si ndio mnayoyatumiagaHayo majina hapo juu yote ni ya kitu kimoja ?