Tumia akili pamoja na ushangazi wakk huelewi mada?Sio kweli, kitu gani wanawake tumefanyiana kuprove hatupendani?
Hujajibu swali... na usiassume unanifahamu sana, sawa?Tumia akili pamoja na ushangazi wakk huelewi mada?
Picha ya ambavyo hawapendani mkuu?Picha?
Wasiopendana au mleta sledi?Nonesense
Sawa shangazi 😊na usiassume unanifahamu sana, sawa?
Nasubiri ajibu hapaWakati ukiwa mtoto Hadi kijana, MTU uliyekua karibu nae Sana Ni mama yako, hebu tueleze, alikua hapendi wanawake wenzake?
Ni Nature. Hebu fikiri hapa hawapendani lakini angalia vile wanafanyia WanaumeTangu ninakua nimekuwa nikisikia kauli za wanawake hawapendani, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, je, ni kweli wanawake hawapendani au ni nadharia tu ilitengenezwa kuwagawa wanawake wasiaminiane kuwa hakuna anayempenda mwingine?
Nauliza hivi kwa kuwa msemo huo umekuwa ukisikika zaidi kusemwa na sisi wanaume japo wapo na wanawake wamekuwa wakisema ila huwa inatokea pale wanapokwazana kitu ambacho napata mashaka kwa kuwa kukwazana hutokea pande zote, kwa nini ihusishwe na wao kutokupendana?
Je, kisaikolojia ni kweli hawapendani? Jamiicheck naombeni mtusaidie katika hili, ukweli ni upi?
Fikra za watu tu.Ni asili ya binadamu kujipenda mwenyewe na kuwa mbinafsi na mchoyo.Selfcenteredness is an in-born character ya binadamu.Hata wanaume huwa hawapendi kutoa sifa na kumtukuza harakaharaka mwanaume mwenzao kama ilivyo kwa wanawake.Sasa,huko hutafsiriwa kama chuki/kutopendana.Haiwezekani watu wachukiane tu bila sababu. Na wala haiwezekani ukaambiwa tu mpende yule au mchukie huyu ili umfurahishe mtu.Upendo au chuki vina vyanzo vyake.Vinginevyo utakuwa ukichaa.Tangu ninakua nimekuwa nikisikia kauli za wanawake hawapendani, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, je, ni kweli wanawake hawapendani au ni nadharia tu ilitengenezwa kuwagawa wanawake wasiaminiane kuwa hakuna anayempenda mwingine?
Nauliza hivi kwa kuwa msemo huo umekuwa ukisikika zaidi kusemwa na sisi wanaume japo wapo na wanawake wamekuwa wakisema ila huwa inatokea pale wanapokwazana kitu ambacho napata mashaka kwa kuwa kukwazana hutokea pande zote, kwa nini ihusishwe na wao kutokupendana?
Je, kisaikolojia ni kweli hawapendani? Jamiicheck naombeni mtusaidie katika hili, ukweli ni upi?
Mimi pia nashangaa "how"? Ndio maana nikaomba vitajwe tunavyofanyiana ambavyo vinareflect kutokupendana kwetu. Ambavyo wanaume hawafanyiani.Wakati ukiwa mtoto Hadi kijana, MTU uliyekua karibu nae Sana Ni mama yako, hebu tueleze, alikua hapendi wanawake wenzake?
Au ukitaka kujua Kama hawapendani, hebu mfanyie mwanamke mmoja ubaya uone reaction ya wanawake wanao mzunguka.