Je ni kweli wanaume ni color blind?

Jana nilichoka baada ya kuambiwa makochi ya ofisini kwangu ni brown wakati nina miaka mitatu nayatumia huku nikiyaona meusi. When it comes to colours wanume are blind.

Wanaume hawa-concentrate kwenye details kama wanawake.
 
Nikiulizwa "you like this color combination on me?" Huwa naitikia "yes" tu ( just to be on the safe side ) lakini I have no idea and I don't really care to be honest.

Najua bluu pants na white shirt combination tu kwa sababu ndiyo ninayoivaa kila siku. Nikibadilisha ni khaki pants sana sana.
 
Goodness. Kuna pants my beloved husband anasemaga ni za khaki wakati ni green and I just had to get rid of them.

You guys are colour blind. Accept it and make it easy for us while picking your clothes.

Huwa nashukuru if you can pick for me. Life gets easier.
 
Sababu color blindness ni genetic trait...

Red na Green color blindness inakuwa carried na X chromosome kwahio wanawake wanaweza kuwa carrier wakampatia mtoto wao au baba akampatia mtoto wake, kwa mwanamke kupata hii mpaka mama awe nayo au awe carrier na baba awe nayo, wakati mtoto wa kiume anaweza kupata hii kwa color blindness baba au mama carrier..., hivyo wanaume wengi wana hili tatizo

Blue color blindness haiwi carried na sex chromosomes hivyo zinawa-affect wote equal wake kwa waume
 
Aisee inawezekana kweli maana huwa tunabishana sana na wife kuhusu rangi flani hivi yeye anasema ni kijani ya mgomba mkavu lkn mie naona ni brown sasa kwa kweli hapo simwelewi kabisaaa
 
Hype Williams is the only man who's allowed to have anything to do with colors so far.
 
Mm kwenye colour ndio kila siku wife ana nishushua...huwaga unashindwa kutofautisha kabisa kabisa....
 
Aisee inawezekana kweli maana huwa tunabishana sana na wife kuhusu rangi flani hivi yeye anasema ni kijani ya mgomba mkavu lkn mie naona ni brown sasa kwa kweli hapo simwelewi kabisaaa
Bora wewe,mimi najua rangi nyekundu,kijani,njano,nyeupe,nyeusi,zambarau na kaki tu
 
Duh nimewahi gombana na wife kisa tunatafuta nguo ya blue bahari yenye rangi ya kupauka kwa ajili ya kuvaa harusini, tulizunguka maduka kibao kariakoo kila nguo ninayomuonyesha anasema sio hadi nikamind kweli ila nguo aliyoitaka mwishoni tukaipata
 
hiyo maroon nayo ni purple duuh kweli hatujui
 
I'm not color blind 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…