Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,647
- 9,280
Ukristo siyo dini. Ni mpango wa Mungu kuwafanya watu wafuate sheria zake (watende mema).Marko 16:15-16
15Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Mathayo 28:19
Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
Tunaambiwa ukristo sio dini Hawa watu ambao yesu alikuwa anawatuma waende ulimwengu wakawafanye watu wawe wanafunzi au wafuasi wa yesu walikuwa wa dini gani ? Au Baada ya watu kuamini na kubatizwa watakuwa wa dini gani ?
😀😀😀😀😀Mataifa ni 12 tu yanayojulikana kwenye biblia. hata Yesu kishasema nyiny hana kiti chenu, soma viti vipo vingapi mbinguni:
Mathayo 19:
28 Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Huo ni ushetani hata maandiko yanakemeaMakasisi kuwalawiti watoto makanisani limetoka wapi!?
Ananikimbiaga kwenye maswali yangu. Ananijua vizuri sana.Upeo wa kujadiliana nae kuhusu dini ni nini huna
Dini ni njia ya kumfata MUNGU/mungu .Bado Kuna dini hapo ambayo yapasa kufuatwa Kama atakavyo huyo Mungu baba,na Kwa Imani ya (baadhi)kikiristo Mungu baba siyo yesu
Ukristo SIO DINI.
UKRISTO HAUJAWAHI KUWA DINI.
YESU KRISTO HAKULETA DINI.
Kuna mahali ni nimeandika amri na sheria ni sawa?Amri na Sheria ni vitu viwili tofauti vinavyishabihiana
Unasema "wapagani wamewapa dini".Ulimwenguni wapi?! Hadi uku kwetu walifika hiyo sheria ya kubatizwa ni kwa wayahudi tu
Halafu toa andiko yesu kasema kuweni wakristo hata huyo yesu haujui ukristo ye kuondoka baada ya miaka 12 ndio Paulo kaja na haya hapa
SOMA MATENDO YA MITUME 11 : 25
Wakristo maana yake ni wafuasi wa Kristo hilo ni jina la kupanga tu walilolitumia wapagani wa antiokya
Sasa wapagani ndio wamewapa dini mzeee
- Kubatizwa sio sheria.Ulimwenguni wapi?! Hadi uku kwetu walifika hiyo sheria ya kubatizwa ni kwa wayahudi tu
Ulisema dini iwe na amri na Sheria,wewe imeweka amri kumi Kama amri na Sheria ilhali zile ni amri na si sheriaKuna mahali ni nimeandika amri na sheria ni sawa?
Usini-qoute kama huna swali lenye kueleweka
Dini(kiarabu-njia) ni huo utaratibu uliowekwa ambao unaufuata,iwe amri kumi au tambiko hiyo ni diniDini ni njia ya kumfata MUNGU/mungu .
Na anaweza akawa mungu wa uongo au wa kweli.
Kwa MUNGU wa mbinguni (wa kweli) njia ni Yesu
Yohana 14:6-7 " Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona. "
Kwa hiyo pia Kuna njia za kukupeleka kwa Mungu wa uongo
Mohammed =>>>> Allah
Siddhartha Gautama =>>>> Buddha
Huna maswali ya maanaAnanikimbiaga kwenye maswali yangu. Ananijua vizuri sana.
Hata hapa utaona jinsi atakavyokimbia maswali. Kama ana ubavu AJE HAPA tujadiliane... na wewe chawa wake pia uwepo hapa kumsaidia
Ukristo Si Dini, ni maisha matakatifu.Marko 16:15-16
15Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Mathayo 28:19
Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
Tunaambiwa ukristo sio dini Hawa watu ambao yesu alikuwa anawatuma waende ulimwengu wakawafanye watu wawe wanafunzi au wafuasi wa yesu walikuwa wa dini gani ? Au Baada ya watu kuamini na kubatizwa watakuwa wa dini gani ?
Ulisema dini iwe na amri na Sheria,wewe imeweka amri kumi Kama amri na Sheria ilhali zile ni amri na si sheria
Ningekuwa sina maswali ya maana Mwalimu wako Faiza asingekuwa anatoka nduki.Huna maswali ya maana
Huwezi jadiliana na mgonjwa akili,atakukausha mate tuNingekuwa sina maswali ya maana Mwalimu wako Faiza asingekuwa anatoka nduki.
Si unaona hata hapa amejikausha hajajitokeza kujibu challenge yangu?