Je ni kweli ukristo sio dini?

Dini ni njia ya mwanadamu kumtafuta Mungu. Na njia pekee ya kumpata Mungu wa kweli ni kupitia imani katika Yesu Kristo.

Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Jibu swali ukirito sio dini?
 
Kwa hiyo matendo utayatenda kwa misingi ipi!?..kwa uelewa wako dini ni nini!?..wapare walikua wakitupa watoto walioanza kuota meno ya chini pale bondeni nkumba vana,wanyamwezi mtemi akifa anazikwa na Binti mzuri aliye hai ili amburudishe huko,he kwako hayo ni sawa!?
 
Bado Kuna dini hapo ambayo yapasa kufuatwa Kama atakavyo huyo Mungu baba,na Kwa Imani ya (baadhi)kikiristo Mungu baba siyo yesu
 
Masawe alishuka toka mbinguni au ana ukoo wake!?
 
Dini ni njia ya mwanadamu kumtafuta Mungu. Na njia pekee ya kumpata Mungu wa kweli ni kupitia imani katika Yesu Kristo.

Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Kwa hiyo Ibrahim na Musa hawaupati uzima wa milele maana hawakupata neema ya kusikiliza mafunzo ya yesu?!
 
Mungu yesu akiwahubiria watu wafuate mafundisho yake siyo!!?..
 
Dini ni njia ya mwanadamu kumtafuta Mungu. Na njia pekee ya kumpata Mungu wa kweli ni kupitia imani katika Yesu Kristo.

Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Mungu wa kweli, Mungu yupi!?
 
Hahahaha... Leo umejibu hili swala la dini ni nini. Kwa sababu huwa nikikuuliza unakulaga kona.

Sasa nataka kujadiliana na wewe kuhusu DINI NI NINI. Upo tayari?
 
Amri na Sheria ni vitu viwili tofauti vinavyishabihiana
 
Hahahaha... Leo umejibu hili swala la dini ni nini. Kwa sababu huwa nikikuuliza unakulaga kona.

Sasa nataka kujadiliana na wewe kuhusu DINI NI NINI. Upo tayari?
Upeo wa kujadiliana nae kuhusu dini ni nini huna
 
Yesu si Mungu mwana na Mungu mkuu pia!!..maana wakiristo mmpo madhehebu mengi na yesu mnamchukulia tofauti Kama ilivyoparaganyika kwenye hicho kitabu chenu
Nani kakupa mamlaka ya kuhitimisha kwamba mimi ni "mkristu" na kunijumuisha kwa kuandika "mpo"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…