amizing chid
Member
- Aug 21, 2017
- 8
- 4
Kuna source moja nimeona kwamba utumiaji wa soda nyeusi mfano Cocacola unakuwa kwenye hatari ya kupata kansa, ina ukweli hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Bia je?Hakuna soda iliyosalama
PoaBIA TAM 🎵
Sio kweli kuwa inasababisha sarataniKuna source moja nimeona kwamba utumiaji wa soda nyeusi mfano Cocacola unakuwa kwenye hatari ya kupata kansa, ina ukweli hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukosefu wa maarifa ndio chanzo cha akina natural therapists kutupiga😃😃Sio kweli kuwa inasababisha saratani
Tatizo la soda yoyote ni kuongeza sukari nyingi mwilini
Ukisikiliza hawa unprofessional Nutritionalists ni Waongo sana, hasa hawa wanaotangaza kwenye mabasi
Kuna watu wametumia Cocacola tangu miaka ya 70 mpaka leo wala hawana saratani
Soda sio nzuri ila haileti Cancer