Je ni kweli Ps4 zinachipiwa kama Ps3?

Je ni kweli Ps4 zinachipiwa kama Ps3?

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,019
Nimepita sehemu nikaona tangazo kuwa wana chip Play Station 4 (Ps4) na kuruhusu kuhifadhi games ndani ya Internal hard disk ya Ps4 na kuachana na habari ya kununua CD.

Je ni kweli habari hizi au lile tangazo ni la matapeli?
 
Mashine yako ipo kwenye Firmware Ngapi?
 
Back
Top Bottom