Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Ila konda akiamua kufanya ufisadi anamlaza njaa dereva.Kwani Konda na Dereva nani anapata hela nyingi? Tuanzie hapa kwanza, halaf Konda na Dereva nani ana mamlaka zaidi kwenye gari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uelewa lakini kuhusu hizi ofisi mbili?!Wote wale wale tu, kinachombena DED ni kuwa na makusanyo yani vyanzo vya mapato vya halmashaur husika viko chini yake. Ila kwa suala la OC wote sawa tu japo hii inategemea na halmashauri au wilaya husika kiutendaji na kimkakati
Kwa mabasi ya mikoani kondakta ndio mwenye mpunga mwingi dereva ana fixed rateKwani Konda na Dereva nani anapata hela nyingi? Tuanzie hapa kwanza, halaf Konda na Dereva nani ana mamlaka zaidi kwenye gari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rc ni mtu mzito sana ambaye alitakiwa awe anapatikana kwa kupigiwa kura.Dc na RC hawana kazi ndo maana watanzania walipendekeza nafasi hizo zifutwe maana Jamaa wanazitumia kuwahonga michepuko yao na kuwasaidia makada uchwara Kama akina muru angalau watoto wao waende chuoni,ila hazina tija yoyote kwa taifa hili