Je, ni kweli mwanamke hawezi kabisa kusahau mwanaume aliyemtoa bikra?

Hilo la kutomsahau huwa linategemea sana raha ulopata,,mtu mwingine unakuta hamna cha maana alichokifanya zaidi ya kuingiza mkuyenge tu bila hata kukuandaa sasa utamkumbuka kwa lipi.

Mimi huyo wangu wa kwanza ctaki hata kumsikia na hiyo siku alobikiri ndo ilikua mwanzo na mwisho
Pole sana niite mie hutakaa unisahau njoo chemba
 
Mwanamke hawezi msahau mwanaume aliyemtoa bikra, labda kama alibakwa, na hata kama alibakwa hawezi kusahau tukio hilo.

Ila kumbukumbu ina mawili,ikiwa aliyemtoa bikra alipata nafasi ya kurudia game siku nyingine,basi mtu huyu atakumbukwa na akitaka tu anapewa tena.

Ila kama aliyemtoa bikra hakupata nafasi ya kurudia game, basi atakumbukwa kwa kuchukiwa tu, yaani mwanamke atamchukia huyo mwanaume maisha yote,

sababu siku ya kwanza kwake ni tabu.na siku zinazofata ni raha.

Ndio maana unashauriwa uoe bikra, ili afurahie matokeo ya mateso uliyompatia siku ya kwanza.

Na wengine hufika mbali zaidi...
 
Nisimsahau kawa baba yangu mzazi mbona unasahaulika naweza kukupita kama kisiki njiani wewe nisiwaze maendeleo yangu nikawaze jitu zima ashakula 50 zake mweh hii karne nyingi mkuu
 
Nimemtoa bikra mwezi wa pili mwaka huu ila baada ya mwezi tumeachana, Ego yake ilizidi kipimo kuna kipindi alifikia kujiona ana thamani sana hata mimi yupo nami kwa bahati mbaya.

Alipotamka kuwa nimuache nikamuacha hapo hapo, sikuwahi kumtafuta wala yeye kunitafuta.

Kwa kifupi sio kwa zama hizi ambazo mwanamke anajiona sawa sawa na mwanaume.
 
Hawezi msahau sababu ndye mtu wake wa kwanza kuanza fanya naye mapenzi. Lakini sio kuwa ndye anayempenda kuliko wote. Mwanamke huwezi muelewa hata siku 1.
 
Ur nt serious...sio rahisi kusahau that person who opened ur legs for the 1st tym n pop up ur virginity
We had a great time yeah but it's not necessary to keep him in my head!!! Actually I don't want to!!! There's a lot of cocktails dick all over
 
Back
Top Bottom